Search results

  1. Gamaha

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Sina mdada yoyote, nakutegemea sana kadogo2
  2. Gamaha

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Naomba ni hiti na kurani tafadhali
  3. Gamaha

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Je ujenzi wa BRT ni PPP au PPP inaanzia kwenye uendeshaji tuu.
  4. Gamaha

    Wasikilizaji wa Radio Imani: Ole wake atakayewalisha watoto wetu mchele wa msaada wenye virutubisho

    Issue ni kwamba watoto wetu wanaosoma Saint Kayumba karibia 20% wana utapiamlo ni aibu kujidai eti chakula tunacho. Unacho huku watoto wanadumaa.
  5. Gamaha

    Nani anauwezo wa kunitoa kwenye kifungo hiki cha biashara?

    Binti na jamaa yake, Hapo laana lazima
  6. Gamaha

    Hii ndio logic ya kumuomba Lucifer: It is very very reasonable

    Umenikumbusha utembo wa bwana Hamidu
  7. Gamaha

    Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

    Haya mambo ya upinde Didy inaonekana ni wakala wake. Wasanii wengi sana wamelalamika huyu jamaa kutaka kuwaingiza kwenye upinde.
  8. Gamaha

    Mapinduzi cup mashindano mabovu yenye marefariii wabovu haijapata kutokea. Ondoeni huu upuuzi mwakani

    Ha ha kaka mkuu ndio umeona mwaka huu.. kule ulaya haya VAR huwa inabishiwa.
  9. Gamaha

    Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Mwamba Ana roho nzuri sana mi ningekukata kichwa walai hela yangu unapeleka kwa mchepuko.
  10. Gamaha

    Hizi english Medium zimejikita kuwaridhisha wazazi wa wanafunzi kuliko kutoa elimu

    Tutafute pesa watoto wasome shule nzuri... hizi negative thinking ni kwa sababu tu hatuna hela
  11. Gamaha

    Naomba mwenye link ya matokeo ya kachaguliwa kidato cha kwanza mwaka 2024 atume

    Mtoto wangu ana B ya uraia tu lakini kapangiwa day..
Back
Top Bottom