Search results

  1. M

    Msigwa akalia kuti kavu. wananchi walimtuma kutetea maslahi yao sio kupiga kelele bungeni

    chezea Chadema! Iringa bado anakubarika sana huyo!
  2. M

    Chaso - IFM yazidi kuizika CCM

    yap! pigeni kazi wadau wangu wa kitivo cha Bima', hifadhi ya jamii wahasibu na watu wa benki kimbieni mhamie CDM fasta au sio!:majani7::target:
  3. M

    Namleta Kwenu Kamanda Lilian Wasira, Karibuni kwa Maswali & Majibu

    Karibu sana kamanda wetu! Ester tuko pamoko sana katika harakati ok!:majani7:
  4. M

    Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo adanganya tena

    Hahahahahahaah! mambo ya Amiri! hayo ful kudanganya haya wadau wangu endeleeni kufunuka hapo ilikuwa bado Kinyala, Irambo shule ya presda wa Kongo na Sangu pia Manow seminary! bila kusahau Lutengano ya Prof Jay.... naomba kuwasilisha!:confused2:
  5. M

    Mashahidi kesi ya Ponda wajichanganya

    na Mie nimekubali kama unafikili elimu ni ghali basi jaribu ujinga ok! fikilisheni vzr akili zenu.......
  6. M

    Picha: Kwa mwendo huu CCM kwaheri 2015

    kimenuka mtaaani! hadi watoto wa digital hawakutaki!
  7. M

    'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Wahukumuni Fasta na mafisadi! Sasa huyo jamaaa kuvaa gwanda tuu miaka mi4 Alafu aliyeiba mabilioni ni miaka 2 au 1... anyway one day es! itajulikana tuu zipi mbivu zipi mbichi..........
  8. M

    Polisi waliosambaratisha CHADEMA mkoani Iringa wadai posho zao "TULITAKIWA kulipwa sh 450,000

    Hapo umenena kaka hii mijamaaaa! ina laana kabisa mana haikumuone huruma hata Yesu Sembuse Binadamu! hAKUNA KUWALIPA MBULULAAA HAO!
  9. M

    Nape Nnauye ndani ya 'mkasi'

    Weweeeee! chezea siasa Za Arusha jiwe litapita ila sio mafisadi!
  10. M

    Nape Nnauye ndani ya 'mkasi'

    Full vituko ila kwa Arusha wasahau kabisaaaaa! chezea mikoa mingine ila usicheze na siasa za Arusha ok siku njema mkasiiiii!
  11. M

    African Angels from MAKANDANA and IGOGWE

    Kwiiiiikwiiiiikwiiiiiikwiiiiiiiiii! ndagha fijho bhakikulu bha nkajha loli moghile leka! safi sana wametokelezea chezea nyakyusa wewe
  12. M

    Nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam

    Yote hayo yanasababishwa na kina PONDA! mpaka mnaonekana ni magaidi! Dah pole sana kamanda kwa kumkosa mkee tafuta ostadhati mwenzako ok! kama vp Badili dini katika kweli na roho Utaokoka!
  13. M

    Je serikali YA KIKWETE haioni athari ya hizi ISLAMIC DVD huku Kusini kama bomu HATARI?

    Jamani suala hili ni zito sana hatuna budi kizikemea hizo Cd na dvd! kwa kweli serikali lazima ichukue hatua ya kukemea uuzaji wa hizo kanda! mana hakuna vita mbaya kama vita ya Kidini! hilo lazima tulijue jamani. Amani ya nchi ni jukumu la kila mwanchi kuilinda na kuipigania!
  14. M

    Vijana wasomi wa aina ya Mwigulu Nchemba wana 'Significant Contribution' kwa TAIFA?

    Kweli ni janga la kitaifa kiongozi aina hii!
  15. M

    Wanafunzi Ardhi University waandamana kupinga kuzuiwa kuvaa nguo fupi, kubana

    Piga stop wote kuvaa vi min hao ludisheni uzalendo kama enzi za Tanu! ok
  16. M

    Mbunge wa Ileje kuandamwa ni haki?

    Mwee! nende bhule bha myitu! kulikoni tena mjomba Aliko yani hufanyi kazi Jimboni! jitahidi uwajibike ili m4c ikija ikukute ukiwa hai au sio! usifanye masiala na m4c ok! Siku njema..........
  17. M

    Kupenda bwana

    Gud kaka nimeupenda sana ushauri wako huyu jamaaa anakuwa kama hazimtoshi vile!:fencing:
  18. M

    Kupenda bwana

    Toa ushauri wa ki utu uzima wewe! hivi alipo kuwa anakula raha alitegemea nini? kaka muoe tuu acha kupokea ushauli mmbovu kama ni kazi utaipata mbele ya safari ok! siku njema.............:shut-mouth:
  19. M

    Kwa wanyakyusa: Hii imekaaje ndio utaratibu au?

    Bhalema lema abho! (WAJINGA) Haiyo haiwezekani kabisa huyo jamaa atafute mwanamke mwingine mana huo sasa ni upuuzi kabisaaaa!:fencing:
  20. M

    PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

    Siku njema huoneka asubuhi! na mwenye macho huwa haambiwi tazama! Ushauri wangu Hebu Chama kisome alama za nyakati ugumu wa maisha sio tuu kwa raia hata Wanajeshi wanalalamika sana! huyo ni mmoja tuu wapo wengine wengi tuu ambao bado hawajalipuka sipati picha siku wakilipuka sijui mtawaeleza...
Back
Top Bottom