kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 171
- 145
kweli huyu Chilisosi ni akili ndogo, kwa kusema mhe. Mchg. Peter s. msigwa anapiga kelele? haya, ukiachana na hoja na mchango wake mkubwa bungeni, ngoja nkukukumbusha mambo kwa uchache tu yaliyofanywa na mhe. Msigwa na ambayo hayajawahi kufanywa na mbunge yeyote alie pata kuwepo katika jimbo la iringa.
1. Aligawa jenzi kwa timu 30 ndani ya manispaa ya iringa, baadae kugawa jezi kwa timu zaidi ya 50 pamoja nakuendesha ligi iliyo idhamini yeye mwenyewe Mh. Msigwa,
2. Alitembelea magereza na kula chakula na wafungwa ikiwa ni pamoja na kujua matatizo yanayowakabili,
3. Aligawa vyandarua zaidi ya 100 katika hospitali ya mkoa,
4. Alitoa fedha milioni 30 kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa nduli
5. Alitoa vifaa vya kisasa vyenye thamani ya zaidi ya milioni 100 katika hospitali ya wilaya iliyopo maeneo ya frelimo mjini iringa kama vile vitanda vya kisasa vinavyotumia rimoti, wheel chairs n.K.
6. Ametembelea na kuchangia saccoss mbalimbali ndani ya manispaa ya iringa
7. Ametembelea na kutoa misaada mbalimbali kwenye vituo vya watoto yatima.
8. Amemuweka mwanasheria katika ofisi yake anaepatikana kila siku ya ijumaa kwaajili ya kutoa ushauri kwa wananchi juu ya mambo ya kisheria!
Ukiachana na mchango wake mkubwa kwa taifa. Je, ni mbunge gani wa ccm kayafanya haya mpaka sasa? Acheni ushabiki usiokuwa na maana, kwa maendeleo ya jimbo letu msigwa ni chaguo sahihi, piga kazi kamanda msigwa
ukitaka kijiridhisha zaidi jifanye kutembelea blog yake ambayo ni MH. PETER MSIGWA BLOG ili usiwe unaropoka ropoka kisa tumbo halina kitu