Picha: Kwa mwendo huu CCM kwaheri 2015

kwel CMM wamechoka..... yan chama toka uhuru nao wanashindana na CDM chama cha juz hapa kurudsha kadi awajui kuwa watu wanaikubar CDM bila hata Kadi........
 
Ukizingatia hichi kizazi cha Digital ndo kabisaa hata bendera yake hawataki kuiona.
View attachment 79873

We hujui kilio cha baba ndio kisasi cha mtoto? Wa Nigeria wanamsemo usemao (if you Kil a father front of a son and let the son live it will cost you more pain than what you have done to a father) wacha wakue na kisasi Iko siku ccm watachinjwa hadharani ukistaajabu ya mbatia utaona ya......,,,!
 
hizo za chadema zinazokabidhiwa kwa Nchemba zinaonekana ni mupya kabisa, hizi za CCM hapo kwenye kofii tebo zinaonekana zimetingwa ukongwe.

Katika vitu ccm imewekeza kwa nguvu zote toka Uhuru ni propaganda Daaa kweli Hii ndio Tanzania alijisemea Roma.
 
Nilikuwa Naona Mambo Kwa Ccm Yataenda Kirahisi Na Kwa Haki Lakin Bao La Mkono Kwa Kutumia BVR hapo haki ya mungu naapa wamenikosa siwachagui,,,,, (nikiwachagua ntapata dhambi bora nisinge skia kitu lakn kwa sasa)
 
Kwendraaaaa...huitajiki wewe msukule wa Baraza la Vichaa (Bavicha)
 
Back
Top Bottom