Nape Nnauye ndani ya 'mkasi'

Lakini tuwe wakweli,
Nape ameongea vizuri na ameonyesha upeo na hekima.
Aidha, tusitarajie mtu wa chama tawala akifagilie chama cha upinzani.
Ameonyesha ustaarabu katika maelezo yake !
 
Huwa namwoneaga hadi huruma huyu. Maana ni kijana halafu ana siasa za miaka ya 40 iliyopita. Propaganda with no substance!!! Atakwisha vibaya sana huyu jamaa. Mark my words!
 
Si ndiyo maana ameteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi , Propaganda na Uongo ( itikadi ) , Amuulize Mbabe wao Lowasa, habari ya Lema ! Bila shaka jibu atalipata .
 
Nafikiri Nape na nduguze wamekata rufaa tena kwa ushauri wa wanasheria fulani, hivyo naomba Mungu awajalie ili wafanikiwe ili tuweze kuona nani ndio msema kweli lakini sifikiri kama ndoto aliyo ota wakati anasuguliwa miguu ni ya kweli kwa kuwa alikuwa hayupo usingizini lakini atown atapingwa chini amuulize mamvi anafahamu
 
unapenda pumba zake whatch out

Ukiona kiongozi wa ccm hapandwi na wafuasi wa upinzani huyo ndo hasa anayefaa lakini ukiona kiongozi wa ccm anasifiwa mpaka na wapinzani hapo ujue kuna walakini,vivyo hivyo kwa upinzani ukiona kiongozi wa upinzani anapogwa madongo ujue huyo ndiye anayefaa hivyo kwa mantiki hiyo mimi naamini nape ni moja ya viongozi bora ndani ya ccm mwenye uwezo mkubwa tu na dr slaa ni moja ya viongozi makini ndani ya upinzani
 
Nape asema jambo lilonishangaza sana kwenye kipindi cha mikasi baada ya kunogewa kusafishwa miguu na kusema hakuna chama cha upinzani nchini kinachowanyima wao kama ccm usingizi, wakati anatambua kabisa namna wanavyo kiogopa chadema

hata mimi nimemshangaa sana jamaa. Lakini wanasaikolojia wanasema kuwa "Something you fear most to the point of nightmare is the only thing you publicly claim not to fear, for the seek of defence" Yaani kitu unachokiogopa na kukunyima usingizi, ndicho pekee utakachokisema hadharani kuwa hukiogopi kwa lengo la kujilinda na udhaifu. Kiukweli Nape anaiogopa Chadema.
 
Jaman sio kivile kumbeza nape kimtindo anajiweza kujieleza, sema kaweka porojo yake ya kuwa eti ye ni kipenzi cha watu hata mkutano akiwa anahutubia yeye huwa hawatangazi ila watu wanafurika, pale nkahisi jamaa kanogewa kusuguliwa kisigino na lile njemba ndio maana akatia ile porojo mawe. ila ana kauwezo ka kujenga hoja flan hata kama ya uongo na kuipa mashiko flani ata kama nadanganya au nin coz siasa yetu bongo ya ni ya uongo na daima kwa wajinga.
 
Katibu wa itikadi na Ulegezi wa CCM Nape Nnauye leo Atasikika ktk kipindi cha Mkasi kinachoendeshwa na Salama Jabiri..JE NI NAPE YULE WA POROJO ZA KISIASA AMA ATAKUJA KIVINGINE.stay tuned
t


kaka watu hatuna ving`aamuzii.......full time tunaangalia movie ......mambo ya t.v......
 
Lakini tuwe wakweli,
Nape ameongea vizuri na ameonyesha upeo na hekima.
Aidha, tusitarajie mtu wa chama tawala akifagilie chama cha upinzani.
Ameonyesha ustaarabu katika maelezo yake !
pro-chadema hata mtu akiongea au kufanya jambo zuri,maadamu linafanya ccm au serikali ipate sifa njema wao watahakikisha wanalichafua hadi lionekane baya kabisa.wanadai eti wao ndio wasomi!
 
Nape nimekuona, Nafurahi kuonesha wazi kuwa ndani ya chama kuna tatizo la kutosikiliza wananchi wanataka nini na hasa wakati wa chaguzi. Umeonesha wazi kuwa ulidhulumiwa nafasi ya kugombea ubunge UBUNGO. Lakini umekuwa mwepesi sana kusema kuwa Jimbo lilikuwa wazi kwa ajili yako. Umenishangaza sana uliposema kuwa ARUSHA ki kama kunywa maji kwenye glass hakuna upinzani unaoitisha CCM. Propaganda ni nzuri lakini vitani propaganda ni nzuri kuwaandaa wanajeshi katika hali ngumu kuliko uhalisia ili washinde kirahisi kuliko kuwadanganya wakakuta hali si nzuri kwa upande wao. Itachukua muda kuibadili system na vita hiyo siyo rahisi kama unavyo vikiri. Unaopingana nao ndani ya Chama wana wamewekeza katika sector na taasisi karibu zote ndani ya nchi, unapaswa kujua kuwa vita unayoizungumzia siyo yako na unaowaona, adui unayepigana nae haonekani jiandae kwa hali hiyo. Nakutakia kazi njema.
 
Full vituko ila kwa Arusha wasahau kabisaaaaa! chezea mikoa mingine ila usicheze na siasa za Arusha ok siku njema mkasiiiii!
 
Back
Top Bottom