Search results

  1. MLIPAKODI

    Kuruthumu ale kuku kila siku? Hapana,safari hii na sisi tunataka

    Haipendezi kabisa kwa vitamu vyote awenavyo kuruthumu,kwani sisi hatufai kuwa navyo?sasa imefika pabaya,kuruthumu yeye ndio anakula kuku kila siku,sisi tunakutana na manyoya.NANI AMEMWAMBIA KURUTHUMU SISI HATUPENDI KUKU? sasa amefika mwisho.NA SISI KUKU TUNATAKA Sisi watu wa;- -Bodaboda...
  2. MLIPAKODI

    Mgomo wa wafanyabiashara siku tatu mfululizo trh 8,9 na10

    Kufuatia kesi iliyofunguliwa dhidi ya mwenyekiti wa wafanyabishara tz(JWT) jumuia ya wafanyabiashara tz bw. Johnson minja ambayo inatarajia kusikilizwa siku tatu mfulizo, na utaratibu wa wafanyabiashara ni kutofungua biashara zao siku za kesi kwa hiyo wamedhamiria kufunga biashara zao kwa siku...
  3. MLIPAKODI

    Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Wadau, Nahitaji kulima maparachichi. Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba kujua changamoto na nini nifanyeje ili nieweze kufanikiwa. MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU ZAO HILI MICHANGO/ UZOEFU WA WADAU KUHUSU ZAO HILI
  4. MLIPAKODI

    TRA mnalipeleka wapi Taifa? Hali ya hewa sio shwari na wafanyabiashara

    [10:49pm, 4/27/2015] Mch. Kiondo: HALI YA HEWA SIYO SHWARI MIKOANI. Ikumbukwe tarehe 6.09.014 mkutano wa kitaifa uliokuwa ni maagizo ya serikali ili kupata wajumbe katika uwakilishi wa kitaifa, watakaounda KAMATI YA PAMOJA KATI YA TRA NA JWT itakayopitia mfumo wa ulipaji kodi nchini, pia ili...
  5. MLIPAKODI

    Mgomo wa mabasi Mbeya

    Mwenye update kamili atujuze kwani nimepita stendi ya Nanenane ni kweupe hakuna mabasi stendi.
  6. MLIPAKODI

    Falsafa ya " MPUMBAVU " ni nzuri japo matukio yake ni out of date

    KUSHUPAA NI TABIA IMFAAYO MPUMBAVU; NA SERIKALI INAYOSHUPAA NI SERIKALI YA KIPUMBAVU.! Na Malisa GJ, Mpumbavu ni mtu anayeshupaza shingo yake anapoelekezwa jambo lenye manufaa. Akielekezwa haelewi na hata akielewa hataki kufuata. Kwa mujibu wa Profesa Kabudi wa chuo kikuu cha Dar (UDSM)...
  7. MLIPAKODI

    Kauli ya Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Tanzania (JWT)

    Mara baada ya sala yetu kama ilivyo ada, nichukue fursa hii kwa unyenyekevu mkubwa, kutoka kwenye kina cha moyo wangu, kumshukuru sana mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi, kwa wema na fadhili zake zisizo kifani kwetu sisi waja wake. Pili; ninakushukuru sana wewe mfanyabiashara mtanzania,kwa...
  8. MLIPAKODI

    Mgomo wa vyombo vya usafiri trh 20/04/2015

    [22:28, 9/04/2015] mlipakodi: KWA madereva nako kimenuka Ijumaa tarehe 10/04/2015 Kutakuwa na Mkutano Wa madereva wote Tanzania nzima. Mahali pa kukutania ni ubungo stand ya mabasi saa moja kamili. Kufika kwako ndio ukombozi wetu sisi sote kwani ni lazima tuionyeshe hii serikali iliyokataliwa...
  9. MLIPAKODI

    Mgomo wa wafanyabiashara Tarehe 9 Aprili, 2015

    Leo maduka sehemu mbalimbali nchini yamefungwa kufuatia kesi ya mwenyekiti wa wafanyabiashara bwn. Minja kupandshwa kizimbani Dodoma. Wafanyabiashara wamekuwa na migomo ya mfululizo na serikali inaopoteza mapato mengi sana kwa siku kama ya Leo. Swali langu kwenu wadau serikali haioni umuhimu...
  10. MLIPAKODI

    Mgomo wa wafanyabiashara kesho

    Nimepata taarifa kutoka kwa wadau fulani kwamba kesho mwenyekiti wa wafanyabiashara Tanzania Bwana Minja anapandishwa kizimbani Dodoma. Kwa hiyo wafanyabiashara wanaendeleza mgomo wao wa kutofungua biashara siku mwenyekiti wao anapopandishwa kizimbani. My take: Nimemsikiliza Minja kwenye...
  11. MLIPAKODI

    Mgomo wa Wafanyabiashara Tanzania nzima, tarehe 30 Machi, 2015

    Mpaka sasa raia wanakimbizana na polisi. Waliofungua maduka wamefungishwa mawe yanapangwa barabarani. Tutapeana update kinachiendelea.. =======
  12. MLIPAKODI

    Muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiashara Tanzania bila kikomo

    Kufuatia kesi iliyofunguliwa mahakamani Dodoma na serikali dhidi ya mwenyekiti wa wafanyabiashara Taifa bwana Minja Kesho tarehe 27/3/2015 kutakuwa na mwendelezo wa mgomo wa kutofungua maduka nchi nzima na itakuwa hivyo hadi siku kesi itakapofutwa au siku ya mwisho wa kesi. Rai yangu kwa...
  13. MLIPAKODI

    Mgomo wa wafanyabiashara trh 05/03/2015

    Wafanyabiasha wanamgomo nchi nzima leo, kushinikiza mwenyekiti wao bwana minja ambaye anapandishwa mahakamani dodoma Leo. Kwa upande wa mbeya maduka yamefungwa sijajua mikoa mingine. My take; serikali haioni umuhimu wa kutatua tatizo hili haraka ili isiendelee kuingia hasara Wafanyabiasha...
  14. MLIPAKODI

    Mgoma wafanyabiashara Njombe

    MGOMO NJOMBE: Wafanyabiashara Njombe wagoma kufungua maduka leo asubuhi kupinga uonevu wanaodai kufanyiwa na maofisa wa TRA. Waingia mkutanoni kamua hatima yao.
  15. MLIPAKODI

    Updates: Mgomo wa wafanyabiashara Tanzania, Tarehe 11 Februari

    Napita maeneo ya Kabwe Mwanjelwa pamoja na SIDO nakuta maduka yamefungwa ila watu wamekaa vikundi vikundi wakiendelea kubadilishana mawazo. Sijajua muitikio wa mgomo huo mikoa mingine kwani ulikuwa ni mgomo wa kitaifa. Maoni yangu kwa serikali - Kwanini isikae chini na wafanyabiashara...
  16. MLIPAKODI

    Mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima kesho

    Kuna ujumbe unasambazwa na wafanyabiashara kufunga biashara nchi nzima kesho. Ujumbe huo ni huu hapa "Breaking News,tarehe 11/02/2015, M/kiti wa wafanyabiashara anapandishwa kizimbani, kwa hiyo wafanyabiashara wote wanatakiwa kufunga biashara zao zote, pamoja na magari kutofanya safari zake...
  17. MLIPAKODI

    Mgomo: Dodoma, Ruvuma, Songea, Morogoro, Mwanza, Mbeya wawapokea wafanyabiashara wa Dar

    Nimepita maeneo ya soko la Sido Kabwe na Mwanjelwa nimekuta maduka yote yamefungwa. Nimejaribu kudadisi kwa wadau wanasema kisa ni kukamatwa kwa mwenyekiti wa wafanyabiashara taifa. Wameamua kufanya mgomo ili aweze kuachiwa kwani ni mkombozi wa wafanyabiashara nchi nzima. Wanasema alikamatwa...
  18. MLIPAKODI

    CCM wakosa wagombea wenye sifa serikali za mtaa

    Kuna taarifa kutoka katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi serikali za mitaa kuwa CCM hawajasimamisha wagombea/wagombea wao kukosa sifa. Kama ni taarifa hizi ni kweli basi CCM imekwisha. Kuna taarifa kutoka Sumbawanga zaidi ya viti kumi havina mgombea wa CCM. Kama kuna mtu ana taarifa kutoka...
  19. MLIPAKODI

    Kama ni kweli basi CCM mwisho wake ndio huu

    Wana jf, Nimeipata taarifa kutoka sehemu mbalimbali katika mchakato wa uchaguzi serikari za mitaa kuwa CCM hawajasimamisha wagombea ina maana UKAWA wanapita bila kupingwa. Kwa mwenye habari kamili ya maeneo hayo atujuze tafadhali.
Back
Top Bottom