CCM wakosa wagombea wenye sifa serikali za mtaa

MLIPAKODI

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
234
88
Kuna taarifa kutoka katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi serikali za mitaa kuwa CCM hawajasimamisha wagombea/wagombea wao kukosa sifa. Kama ni taarifa hizi ni kweli basi CCM imekwisha.

Kuna taarifa kutoka Sumbawanga zaidi ya viti kumi havina mgombea wa CCM. Kama kuna mtu ana taarifa kutoka maeneo mbalimbali atujuze ili tuone wameachia viti vingapi?
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kifo-cha-mende-katika-mikoa-mbali-mbali.html
Kunataarifa kutoka katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi serikari za mitaa kuwa Ccm hawaja simamisha wagombea/wagombea wao kukosa sifa. Kama ni taarifa hizi ni kweli bac Ccm imekwisha, kunataarifa kutoka sumbawanga zaidi ya vipi kumi havina mgombea wa ccm. Kama kuna mtu anataarifa kutoka maeneo mbalimbali atujuze ilituone wameachia viti vingapi?

Tumia vizuri akili yako kama utaruhusu mwili ubebe akili unahasara kubwa sana jitahidi akili zibebe mwili.
 
CCM si walikuwa na vijiji na mitaa 98% subilini matokeo ndo muanze kuloloma kama CCM mtafika asilimia hiyo au zaidi.
 
hiyo ni kweli kabisa , jimbo la komba kuna vijiji cdm imepita bila kupingwa , tunakusanya data tutaleta idadi ya viti vya bure , ILE CDM NI MSINGI IMEUA KABISA CCM VIJIJINI , ASANTE MUNGU KWA WEMA WAKO .
 
10676218_10152859998097412_8968171845708527008_n.jpg
 
mada haijajibiwa watu wanaanza kubeza LIZABONI vipi kaka hebu fanya uchunguzi
 
Hahahahahaaaaaaaaa! CCM ni kiboko yenu. Ushindi wa mapemaaa

CCM mtaendelea kucheka wakati mnakufa,CCM ni kiboko kivipi?wakati maeneo yote waliyopita yalikuwa yao,kwa nini msikubali ukweli kuwa wapinzani ndio kiboko kwa kuwa wanachukua maeneo yaliyokuwa yanatawaliwa na CCM?CCM ni kiboko kwa lipi wakati wapinzani wanaongeza na CCM inatoa?.
 
Ccm hawataki kuku Bali ukweli kwani kwa muda mrefu sana wapinzani Ndio walikuwa hawsimamishi wagombea mwenye maeneo mbalimbali. Ila sasa imefika Ccm nao wanakosa wagombea halafu bado wanajisfu. Hawaoni hata aibu kwa chama tawalakutosimamisha mgombea Kwenya uchaguzi? Shame on them
 
sasa hivi wanahangaika kuwawekea mapingamizi wagombea wa cdm kwa hoja dhaifu sana , UKIPIGA PICHA BILA KUVAA TAI UNAWEKEWA PINGAMIZI , NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ANAKUBALI !
 
Kwa mizengo pinda CCM wanazomewa kama mbwa. Nashangaa ccm wanatamba,mnatamba nini wakati mna-loose badala ya ku-gain,waacheni wabishe kwa kusema CCM ni kiboko chao,watakapokuja kustuka CCM itakuwa chama cha upinzani.
 
hiyo ni kweli kabisa , jimbo la komba kuna vijiji cdm imepita bila kupingwa , tunakusanya data tutaleta idadi ya viti vya bure , ILE CDM NI MSINGI IMEUA KABISA CCM VIJIJINI , ASANTE MUNGU KWA WEMA WAKO .

Vijiji Hivyo ni Tumbi, ngehe, ngindo, mkalole, ukuli, kingerikiti na Dar pori mkuu
 
Back
Top Bottom