Search results

  1. S

    Mapenzi yaliondoa maisha ya ndugu yangu

    Nikupe pole sana mkuu, najaribu kukumbuka akili inaniambia hii kitu ilitokea mwaka juzi, wakazi wote wa kigurunyembe na bong'ora wanajua A - Z ya mkasa huu, maana hata mimi niliambiwa kilichotokea nilivyorudi weekend mapumzikoni nyumbani. KUTOKA KWA BIBI Niweke ufafanuzi zaidi wa kilichotokea...
  2. S

    Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    huyu jamaa ni wakuogopwa zaidi ya hao waliofukuzwa bavicha. ni undercover agent anayetumika kisiasa, hivyo moves zake ni za kimya kimya.
  3. S

    Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

    aiseee hapa watu washafutwa kazi na kupokonywa contract, hakuna kampuni ya simu inayoweza vumilia aibu hii, labda tu huyo contractor aliyesababisha haya awe na mikono mirefu zaidi ya maelezo.
  4. S

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    whistle blowers wa bongo full ubabaishaji. unatikisa kiberiti, wakikuita wakakukatia fungu utakuja hapa na twisted continuation of stories. hadithi yako ina mapungufu mengi ila umepata waumini wengi just because watu wamechoshwa na ufisadi. big up to msemakweli wa mafisadi wa elimu, huyu muhaya...
  5. S

    Mwanafunzi afia gesti akitolewa mimba

    hapo doctor na boyfriend kwa mawasiliano ya simu washakamatwa. labda waamue kuzizima na kuzitupa na kupotea mazima. ila kwa polisi wetu walivyo, watambana doctor awape mlungura wa kutosha siku ziende.
  6. S

    Rafiki yangu anahisi kabambikiziwa mimba

    kiufupi....akilitoa yai ana grace period ya siku tano, kama halijatumika huaribika. hapo huingia kipindi cha siku nane cha kutengeneza damu...sasa yeye walikutana siku nne kabla ya damu kumuanza. inamaana hilo yai lilikuwa lishaharibika....hivyo hakukuwa na uwezekano wa kupata mtoto.
  7. S

    Tido Mhando alikosea sana

    TBC si yetu tena......wamiliki wake ni wachina wa star times, hivi sasa naona wanakula timing tu ya kuichukua mazima.
  8. S

    Godbless Lema kuwasha moto wa kufa mtu Morogoro mjini"

    tarajia nini: mfa maji abood bus service ambaye television yake hutumia dakika 15kila siku muda wa habari kumpamba wataanza mpamba. moro town ishabadilika, naamini 2015 jimbo litadondokea chadema.
  9. S

    catch-worthy single ladies ready for a perfect match

    this is only for single ladies aged 20-25years, non-smoker, non-alcoholic, no kid not even attempted abortion, college level or more, independent, self motivated and faithful. On my side, 26years, employed, based in dsm, no kid, non-smoker, non-alcoholic. PM me if interested, then I will see...
  10. S

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    sikushangai simply because ya jina lako la mangungo. bila shaka akili zako na za chief mangungo zipo sawa.
  11. S

    Kumbe hata Ulaya marefa nao ni magumashi

    mfa maji haachi kutapatapa
  12. S

    Meseji ya mauaji ya Barlow yanaswa

    uwezekano wa kujua imei upo, napopiga simu au kutuma message kuna info zinakuwa captured from my handset including imei na mnara unaonipa mawasiliano. so baadaye hata mtu akitupa line yangu na wakasearch mawasiliano yangu watajua imei yangu, watatumia imei hiyo kujua ni nani anatumia hiyo...
  13. S

    Meseji ya mauaji ya Barlow yanaswa

    kisa cha mapenzi anabambikwa mtu kesi zisizo muhusu, wanaesema amekamatwa dar (lamada hotel) ni baba nyumba (hawara) wa mwalimu dorothy, inshort ndio aliyekuwa anamtunza dorothy. sasa wameamua kumbambika kesi zote za ujambazi mwanza. wakubali tu yale yalikuwa malipizi as hakuna kitu kinachoboa...
  14. S

    esther wasira aachia single yake aliyo shirikiana na man sulii..

    namkubali sana huyu dada, wimbo wake wa sheila wasikilizika hadi kesho wakati aliutoa almost 10years ago. akikomaa na siasa atafika mbali sana.
  15. S

    Zitto atikisa Bagamoyo leo

    twanga kote kote
  16. S

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    viongozi wa design hiii ndio huishia kuchanganya chemistry na physics
  17. S

    Biashara ya utalii wa ndani ya nchi

    same idea in a different way, kwa sasa naitunza kwanza hadi uwezo wangu utakapojitosheleza but all my eyes are on tours rite now. kila la kheri mkubwa.
  18. S

    kanuni ya kujiajiri ni kutumia fursa ya matatizo ya watu na GAP ya ufahamu wako na wengine!

    in tanzania people live by theories, maisha kuthubutu, bila kujaribu umaskini hautotuondoka. i have failed many times bila kukata tamaa, sasa atleast mwanga waonekana.
Back
Top Bottom