Wadau, kama wasemavyo watu wa Tanga ni watu wenye utu na ubinadamu, hatimaye nmeona kwa macho yangu.
Nimefika Tanga kwa kufuatilia maswal ya shule ya mdogo wangu na nkafikie hoteli moja ya uswahilini.
Nkaongea na muhudumu anitafutoe mtu wa kunipa kampani na hatimaye kanitafutia.Binti wa...
wakuu heri ya pasaka, ni zaidi ya miaka 20 tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi limekua likinikabili ila sikuwahi fuatilia chanzo na treatment. Hili tatzo hua linatokea hasahasa muda wa kuswaki. na damu inayotoka ni kidogo sana.
Kilichonifanya nisifuatilie ni kutowahi pata maumivu yeyote...
Wadau habari za asubuhi,
Naomba maelekezo ya namna ya kuwa agent wa hyo kampuni;
1. Je, taratibu na qualification zinazohitajika ni zipi?
2. Ofisi ipi nastahili kwenda?
3. Faida zake zikoje kwa mkoa wa Dar?
4. Changamoto zake ni zipi?
5. Kati ya Azam na METL soft drinks ipi inalipa vizuri...
Aise nimepata kitu humu, je mnaweza kutapa ufafanuzi juu ya kirikuu? Ni ipi bora kati ya kirikuu na bajaji? na bei ya bajaji kwa sasa ni sh ngapi? Min and maximum price
Wakuu heri ya mwaka, nimepata huo mtaji na ninawaza kwa mkoa wa Dar es Salaam ninunue bajaji ama kirikuu. Naomba wazoefu na pia wenye uelewa juu ya hili;
1. Je, ni ipi itanilipa vizuri?
2. Je, ipi inachangamoto chache kwa Dar?
3. Profitability yake ikoje?
4. Nina mpango wa kumtafta driver je...
Mkuu umewaka hiyob25% kwa assumption ya tax compliance kua ni 100%.
kwa nchi zinazoendela ni vigumu sana kufikia kama ulivoandika. TRA imejaribu kutengeneza mazingira ya compliance kwa kuanzisha EFD machine but still yet tunakua wagumu kuzikubali. lingine watanzania wengi hatudai risiti halali...
Siku hizi sim card imekua benki ndogo ambayo mtu anaweza hifadhi kiwango kidogo cha fedha na hata kikubwa .
Swali je, mmiliki wa fedha na mimliki wa lain akifa je kuna utaratibu gani wa ndugu zake mitandao kumrudishia hzo pesa?
Hua nashangaa humu ndani matusi yanakua mengi sana mtu akizungumzia swala ubikra.
Je, ni kosa?
Je, tamaduni zetu haziruhusu kuzungumzia?
Niwekeni sawa ili tuacha kabsa kuzungumzia maswala ya ubikra.
Chanzo: Comment za thread nyingi humu MMU
Jaribuni kuhakikisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.