Msaada: Taratibu za kuwa agent wa Azam soft drinks

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Wadau habari za asubuhi,

Naomba maelekezo ya namna ya kuwa agent wa hyo kampuni;

1. Je, taratibu na qualification zinazohitajika ni zipi?

2. Ofisi ipi nastahili kwenda?

3. Faida zake zikoje kwa mkoa wa Dar?

4. Changamoto zake ni zipi?

5. Kati ya Azam na METL soft drinks ipi inalipa vizuri ukiwa agent wao?

6. Je nikiwa agent wa kati ya hao kwenye no 5 je itanizuia kuwa agent wa kampuni zingine ie cocacola na SBC (Pepsi)?

Natanguliza shukrani kwa maelekezo ya kina nitakayopata.
NB; for the purpose of this post, agent means agent in any location in Dar es salaam
 
OK mkuu unataka kufanya shughuli ya uchuuzi wa bidhaa za azam, ngoja niwaite subiri kidogo
 
Back
Top Bottom