Search results

  1. K

    Ajira...

    Huo usaili utakuwa na watu wengi sana japokuwa nafasi ni 5 tu. Kwa kweli tujaribu kuangalia fursa zingine za kupata ajira jne na hizi za kuajiriwa.
  2. K

    Kilimo cha miti hakina faida kwa sasa. Ni biashara kichaa!

    Kama mashamba ni mengi , ni wazi miti imeongezeka , kwa hiyo, bei lazima ishuke maana ni maliggafi. Kama ni kupata faida lazima uuze mbao kama ilvyo kwa wakulima wa mahindi, anayepata faida ni muuza unga
  3. K

    Major Abdulrahman Shimbo: Kamanda wa Kikosi cha JWTZ kilichozima jaribio la mapinduzi Seychelles

    Lt Gen Sayore alistaafu wakati wa Mhe Mkapa, walistaafu wote na Gen. Mboma
  4. K

    Zaidi ya vijana 100 watekwa nyara katika mashambulizi Msumbiji

    Ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati si salama, vikundi vya kigaidi vinazidi kupata nguvu za kuijimarisha. Kwa hiyo, yanayotokea huku Msumbiji na tuweka katika hatari ya hata sisi huku TZ hasa mikoa ya kusini. Ni vizuri kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama unapoona dalili za uhalifu...
  5. K

    360 mawingu wameidadavua faini ya Musiba Tsh bilioni 6 kisheria, inashangaza kwa tusiojua sheria tunaweza kucheka

    Kesi ya madai ndiyo ilivyo, bora mdai apate japo kidogo kuliko mdaiwa kufungwa, maana gharama zote zinazohusiana na mfungwa zinabebwa na mdai.
  6. K

    Orodha ya makabila ya Tanzania

    Nimejaribu kuahesabu haya makabila, yako 138. Kwa hiyo, tunaposema makibla zaidi ya 120 si kweli ila ni zaidi ya 130?
  7. K

    Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Gunia moja la mkaa ni elfu 10? Uko mkoa gani wa Tanzania?
  8. K

    Wapi kuna soko la unga wa mihogo

    Unga wa muhugo unapatikana kwa wingi Tanga, Lindi na Mtwara. Vile vile kwa mikoa ya Shinyanga na Mara.
  9. K

    Biashara ya maharage ya njano

    Kwanza wazo la biashara ni zuril Lakini ulitoka Dar kuja Arusha bila kuw ana taarifa za awali kama vile maharagae hayo yanapatikana Arusha sehemu gani, na kwa bei gani kwa gunia? Vile vile kama kuna gharama zingine mfano, tozo za Halmashauri kama zipo.
  10. K

    Madiwani Buchosa wakubali kuhamia Geita ili kutoa fursa kuanzishwa mkoa mpya wa Chato

    Nadhani alitaja umbali kakosea, yaani kilomit 10 hadi Mwanza alfu hamsini 58 hadi Geita. Kuna kitu hakijakaa sawa, inabidi wenyeji wa huko wafafanue ili kuondoa mchanganyiko huu.
  11. K

    Mgogoro wa wafugaji nchini imeshamiri sana

    Wafugaji wengi hawana malisho ya uhakika kwa mwaka mzima, hivyo, huhama hama kutafuta sehemu za malisho. Kwa vile mifugo inakuwa haina chakula inakimbilia kile penye chakula, na wale wanaowaswaga huwa wana uzembe au wanazidiwa maana ng'ombe huwa ni wengi hususani mifugo ya Maasai. Kunahitajika...
  12. K

    Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Nakushauri umalize kwanza masomo maana hata huko unakotaka kwenda kunatakiwa watu wenye elimu zao! Kuwa mvumilivu kwa muda umalize masomo , baadaye utapata ajira kulingana na fani (taaluma) yako. Vyombo vya ulinzi pia sasa vinajizatiti kwenye tekechnolojia ambayo ndiyo kila kitu leo hii
  13. K

    Wawili wajeruhiwa katika shambulio la risasi lililotokea karibu na Ikulu ya Guinea. Rais Alpha Konde adaiwa kuwa salama

    Lakini Afrika ina vituko sana. Kule Mali, askari polisi wamevamia gereza na kumchukua mkuu wao aliyekuwa gerezani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu!
  14. K

    Wawili wajeruhiwa katika shambulio la risasi lililotokea karibu na Ikulu ya Guinea. Rais Alpha Konde adaiwa kuwa salama

    Halafu hiyo picha inaonesha askari akiwa amfuga ndevu, huko askari wanaruhusiwa kuwa 'o'. kwa mtindo huo, maadili yanakuwa kidogo au alikuwa mafichoni, hivyo, hajapata wembe wa kunyoa ndevu?!
  15. K

    Wawili wajeruhiwa katika shambulio la risasi lililotokea karibu na Ikulu ya Guinea. Rais Alpha Konde adaiwa kuwa salama

    Hii ina maana hata walizni wake pale Ikulu walikuwa wameshamchoka. Hii haina tofauti an yule rais wa Haiti aliyeuawa akiwa nyumbani kwake bila majibizano yo yote baina ya walinzi wa rais na wauwaji. Kwa kweli huheshimu utawala wa sheria na utawala bora n jambo jema sana.
  16. K

    INAUZWA Jipatie top quality: Knitted Ties, Socks and Men’s Underwear

    Duka liko wapi hapo Dar es Salaam? Mimi niko Arusha lakini nimetamani hizo socks pamoja na underparts
  17. K

    Kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Louis chakamilika, kufunguliwa rasmi 25/02/2021, Ubungo kufungwa rasmi Jumatano

    kwa kweli iatabido kwa baadaye serikali iangalie kujenga stendi sehemu kama vile Boko ili kuhudumia magari ya njia ya kaskazini, vilevile kule Mbagala kunatakiwa kuwepo na stendi kwa ajili ya magari ya njia ya kusini.
  18. K

    Siku ambayo Iran itashambulia Israel ndiyo utakuwa mwisho wa Taifa hilo

    Ni vigumu kwa Iran na Israel kulishambuiana maana hiyo vit aikauwa ni katia ya USA na Rusia pamoja na China. Ka hiyo, watabaki wakitishiana na kufanyia conspiracy
  19. K

    Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Kuwekeza kunawezakuwa na tija lakini ni vizuri wakajifunze kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambao ulikuwa na vitega uchumi chini ya DDC. Vile vile kuna Chama cha Ushirika cha Mkoa Kilimanjaro, kilikuwa na KNCU Hotel lakini miradi hiyo haiingizi fedha tena kama ilivyokuwa imetarajiwa.
Back
Top Bottom