Search results

  1. S

    Dharula-Mwenye number ya Dr. Trim wa Muhimbili Tafadhari

    Wadau naomba mwenyewe namba ya Dr. Tarimo wa pale idara ya OPD Muhimbili a nipatie . Kuna mgonjwa inahitajika sana amuone. Alienayo Tafadhari kama si hapa hata kwenye inbox aniwekee.
  2. S

    Shida ya Mawasiliano

    Toka jana mtandao wa Tigo na Airtel inasumbua kwenye mawasiliano. Ukiingiza vocha haziingii,ukipiga call haziendi. Nimewauliza baadhi ya wenzangu watumiao mitandao hiyo nao wanasema wanapata shida hiyo. Kuna yeyote anayejua nini tatizo?
  3. S

    Kaka ulivyokaa hapa mara ya mwisho ilikua haujalipa

    Imeibuka tabia ya wahudumu wengi wa sehemu za vinywaji na chakula,hasa kwenye bars kumbambikia mteja bills ambazo hazikuwepo. Kinachofanyika wahudumu wahuni hawa huchagua mteja mstaarabu,anaeonekana anazo mfukoni na ambaye huenda kwenye bar husika mara kwa mara. Siku ambayo haina jina...
  4. S

    Yuko wapi Mao Santiago

    Hivi yupo wapi mtu huyu. Amepotea sana! Ukisikiliza rap zake akiwa na Chuchu Saundo unaweza kumtafuta usiku na mchana! Ana kipaji huyu kijana ila hajapata platform tu!
  5. S

    Felix Alton vs Jerry Minja

    Ni waandaaji na watangazaji wa vipindi vya nyimbo laini siku za Jumapili. Mi ni mpenzi wa nyimbo laini. Hawa jamaa wote ni mahili kwenye vipindi vyao Felix akiwa TBC Fm na Jerry akiwa Clouds. Lakini nimechunguza,Felix kamzidi kidogo points Jerry. Kwa wale wapenzi wa miziki laini siku za jumapili...
  6. S

    Hongera jeshi la Polisi kwa kufanikisha kumpata mtoto akiwa mzima

    Wiki iliyopita pali ripotiwa kupotea kwa mtoto kule Tabata Chan'gombe. Baba wa mtoto alitoa maelezo yake na mama wa mtoto pia alitoa maelezo. Jeshi la polisi limefanya kazi yake na mtoto amepatikana mzima wa afya huko Mbagala akiwa kwenye nyumba nzuri akilala kwenye kitanda kizuri chenye neti...
  7. S

    Ilikuwaje Che Guevara kuja Tanzania kwa Siri!

    Kumbe na si watanzania ni noma. Why did Che Guevara go to Tanzania secretly? Picha hii yenye maelezo, "Mondlane na Che Guevara, Dar es Salaam, 1965) imepatikana itsdar.net. The Argentinean revolutionary and hero of the Cuban revolution, Ernesto "Che" Guevara, spent over four...
  8. S

    Radio Free Africa Wajirekebisha

    Ni katika kipindi chao cha magazetini asubuhi. Kuliwahi wekwa uzi humu kwamba kipindi chao cha kupitia magazeti asubuhi kimejaa matangazo ya biashara na habari za magazeti zinasomwa kiduchu tu. Kipindi kilikua na matangazo kumi kabla, matangazo kumi katikati na matangazo kumi mwishoni!.Watu...
  9. S

    Ndege za Israel zaanza kuponda maeneo ya Hamas kule Gaza

    Hii ni baada ya Hamas kuwateka na kuwaua watoto watatu wa ki israel. Netanyahu amekaririwa akisema Hamas watalipa mara mbili! Watoto hao wamezikwa leo. Source:DW. My take,nachoona wataumia mpaka wasiohusika kama wanawake na watoto wa ki palestina. Sijui mzozo huu utaisha lini na tuombe Mungu...
  10. S

    Mpambano Star tv na Clouds tv Kilimanjaro awards

    Wadau naangalia Kili awards kupitia Clouds tv na Star tv. Kwa sasa watu mbalimbali wana kuwa interviewed kwenye red carpet, Observation yangu ni kwamba mpaka sasa Clouds wanaonekana ni amateur kwenye kuchanganya picha na sauti za matukia. Star tv wanachanganya picha na sauti vizuri sana. Rangi...
  11. S

    Andika neno Illuminati lakini ukianzia mwisho kurudi nyuma. Uone kitakachokuja!

    Wakuu ukiandika neno illuminati kinyumenyume kisha ongeza .com(yaani itanimulli.com) kisha google,utaona maajabu ya hii taasisi!
  12. S

    Kwa Dar mjini hasa ni wapi?

    Wadau nauliza. Hivi ukiwa Dar es salaam sehemu gani hasa ndio mjini. Nlikua Magomeni nikamuulizia mtu wakasema hayupo kaenda mjini. Siku nyingine nilikua Buguruni nikamuulizia mtu wakasema hayupo kaenda mjini. Hao watu nilichogundua walikua wameenda ofisi zg serikali kule posta. Siku nyingine...
  13. S

    Mku wa mashoga Uganda yupo USA, atetea ushoga Uganda

    Anasema Museveni ange deal na kutatua matatizo ya ki uchumi na kisiasa ya nchi yake badala ya kuwaandama wao ambao si wahalifu.Inarushwa na kipindi cha Straight talk Africa cha VOA kupitia Star TV wakati huu chini ya Shakar Sari. Chama cha waislamu cha uganda kimemsifia Museven kwa msimamo wake.
  14. S

    Tukutanene tena siku na wakati kama huu!

    Mara kadhaa nimekua nikiwasikiliza watangazaji wa redio na televisheni hasa za kiswahili.Wanapomalizia kipindi wanasema”tukutane tena wiki ijayo,siku na wakati/muda kama huu”. Swali langu ni je,msikilizaji akifungua redio au televisheni yake hiyo wiki ijayo kwenye muda na wakati kama alivyosema...
  15. S

    Dr. Lwaitama hana kosa na yuko sahihi kuomba mawasiliano kwa lugha ya Kiswahili

    Hii nimeisikia asubuhi ya leo redioni lakini mniwie radhi kutokana na majukumu nilichelewa kuirusha. Kwa ufupi maofisa wawili waandamizi wa safari za anga wamesema msafiri halazimishwi kujua lugha inayotumika kwenye ndege bali maafisa wa ndege ndio wenye wajibu wa kuhakikisha mteja wao anapata...
  16. S

    Hakuna mchango wa cash unaotakiwa,Pata mapato ya ziada nje ya kazi unayofanya sasa!

    Just ingia kwenye hii link ambayo imebadirisha maisha ya wengi mpaka sasa na ujionee http://mediajobnet.com/?id=38148
  17. S

    Atakaeichokoza Tanzania ameichokoza China!

    Hayo yamesemwa na barozi wa China nchini Tanzania wakati wa kuziaga meli mbili za kijeshi za jeshi la watu wa China zilizokuwa zimetia nanga bandari ya Dar es salaam. Source:ITV habari ya saa mbili usiku.My take:Aliambiwa baadhi ya 'watani zetu wana chokochoko nini!? !
  18. S

    Chenji zinasumbua,utanidai mia moja!

    Wakuu tunaelekea kwenye sikukuu za kufunga mwaka. Wengi tumekua na tutakua tukijivinjari kwenye bars na restaurants mbalimbali kwa vyakula na viburudisho. Kumekua na tabia ya wahudumu wa maeneo hayo,ukishalipa pesa itakayohitaji urudishiwe chenji,mhudumu atakuambia chenji inasumbua utamdai mia...
  19. S

    Noti za Tshs 10000 na Tshs 2000 zimefanana.

    Jamani kwenye kutoa na kupokea noti za 10000 na 2000 mara nyingi zinafanana,hasa usiku. Nimepoteza pesa mara kadhaa kwa kwa hilo.Kwa alie ona hilo anaweza kuelezea. BOT wangerekebisha hilo!
  20. S

    Why is the midle finger so long? Logic reasons please!

    For any man or woman, the the middle finger is longer than others! Why and for what purpose!?.
Back
Top Bottom