Atakaeichokoza Tanzania ameichokoza China!

Atakaeichokoza Tanzania ameichokoza China!

Swat

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
4,201
Reaction score
2,003
Hayo yamesemwa na barozi wa China nchini Tanzania wakati wa kuziaga meli mbili za kijeshi za jeshi la watu wa China zilizokuwa zimetia nanga bandari ya Dar es salaam. Source:ITV habari ya saa mbili usiku.My take:Aliambiwa baadhi ya 'watani zetu wana chokochoko nini!?
!
 
mbona wachina wenyewe ndo wanaichokoza tanzania!!!!!???, kwahiyo ndo janja yake ya kututenga na marafiki wengine ili atunyonge vizuri!!!!!!!????
 
Ndo yule aliyeingia kwenye ziara ya CCM kule mikoani na kuvaa kama mwanaCCM?
 
Huyu Balozi wa China ameshakuwa kama wanasiasa wa Bongo, full kuropoka ropoka tu.
 
Amesahau kumalizia tu ccm na china ni damu damu,Ndo maana tunawaibieni madini,gesi ,pembe za ndovu(ma conatiner),contractor karibia zote zinachukuliwa na wachina
 
Lengo mahususi la uzi huu ni nn?
Ni kuwahabarisha ambao hawakupata nafasi ya kumuona na kusikiliza alichosema balozi huyu.
Pia ni kujaribu kuelezea jinsi watanzania tulivyo ndugu na marafiki na serikali ya china!.
 
Ni sawa..kuwaua tembo wa Tanzania na kusafirisha ndovu zake ni kuichokoza Tanzania pia...Kwahiyp hapa napo Uchina imechokozwa??
 
Hakuvaa kofia ya ccm? Maana ndo zao, ongea kwanza, fikiri baadaye!
 
Kumbe walikuja kubeba Pembe za Ndovu na Meli zao za Kivita... maana wameona mizigo inastukiwa kila siku.... hii michezo nadhani inachezwa na Jeshi la wachina...
 
Tanzania is very strategic geopoliticallly

Uchina ina mipango ya kuproject naval power yake indian ocean ,to do that inahitaji naval base ukanda wa afrika mashariki

Tanzania ndo nchi iliyokaribu naye zaidi kidiplomasia

Haya maneno yote ya balozi ni vidhihirisho ya nia ya china kutaka kuweka naval base bongo
 
Back
Top Bottom