Search results

  1. G

    Karibuni kwenye misa ya Kanumba siku

    Wale wapenzi wa filamu za Tanzania, haitakuwa vibaya kama kwa pamoja tukajitokeza siku ya misa ya nguli wa filamu ambaye aliweza kutikisa vizuri katika tasnia hiyo marehemu Steven Kanumba, ambayo itafanyika siku ya jumapili jioni pale Leaders Club. Lakini Misa hiyo pia itafanyika kanisani...
  2. G

    Fid Q atunukiwa cheti kutoa elimu juu ya Albino

    Mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Farid Kubanda 'Fid Q' ametukiwa na cheti na afisa mtendaji mkuu wa taasisi ya Under the Same Sun, Mr Peter Ash kutokana na kujitolea katika mapambano dhidi ya unyanyasaji wa walemavu wa ngozi na kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na walemavu wa ngozi ambao...
  3. G

    Uliwahi kuona filamu kama hii hapa Tanzania?

    Kama uliwahi kukutana na filamu yenye mikasa ya kutisha na ya kusisismua basi hii kiboko. Katika risti humo ndani kuna Chopa wa Mchopanga, Irene Uwoya, Gabu, Chuchu Hansi, Rich mgogoro mkubwa katika ya watu kulilia roho yao na wengine kulilia milki yao. Gabu anaamini ujio wa wageni kwenye...
  4. G

    Ball Player ya Izo B kuachiwa rasmi

    Kesho jumatano kwenye kipindi cha XXL nyimbo mpya Izzo Bizness inayoitwa ball player itazinduliwa rasmi katika nyimbo hiyo amemshirikisha Albert mangwair, quick rocka na mwanadada hatari wa kuimba anayeitwa RUTH . Soma
  5. G

    Fid Q atunukiwa cheti kutoa elimu juu ya Albino

    Mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Farid Kubanda 'Fid Q' ametukiwa na cheti na afisa mtendaji mkuu wa taasisi ya Under the Same Sun, Mr Peter Ash kutokana na kujitolea katika mapambano dhidi ya unyanyasaji na ukatiri wa walemavu wa ngozi na kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na walemavu wa ngozi...
  6. G

    Dotnata ajiweka kwa Tb Joshua

    Aliyekuwa muigizaji maarufu nchini Dotnata, ambaye baadaye aligeukia katika muziki hivi sasa amemua kuwa mwanachama kabisa wa Kanisa la Tb Joshua la nchini Nigeria huku akisema lengo lake kubwa ni kumrudia mungu moja kwa moja. Dotnata ambaye hivi karibu alikuwa kwenye mwaliko wa mwaka mpya...
  7. G

    Temba aibiwa vifaa vya gari yake aina ya Verros

    mwanamuziki wa kizazi kipya Amani Temba ‘Mh Temba’ amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo kwenye gari hilo. Akizungumza na mwandishi wa safu hii, alivitaja alisema baadhi ya vifaa...
  8. G

    Swahili Hip Hop Summit 2012, yapunguza machungu ya Wanahip hop? Je watafika.

    Wasanii mbalimbali wa muziki wa kufoka maarufu kama Hip Hop leo walikutana katika kikao cha wasanii wanaofanya sanaa na muziki wa aina hiyo, kilichoandaliwa na Asar Entertaiment na Alliance Francaise, katika ukumbi wa Alliance Francaise Hall, ilikuweza kujadili ni jinsi gani wanaweza...
  9. G

    Tunawasaidiaje, wasanii wetu kufika mbali kimuziki kama kuwasapoti KORA 2012?

    Wakati mkali Chriss Brown anategemewa kuangusha burudani katika tuzo za KORA, hawa ndiyo Watanzania wanowania tuzo hizo ni Best male artist East Africa: Ali Kiba Feat Lady Jay Dee – Single Boy, Best female artist East Africa: Saida Karoli – Sakina. Best male new comer: Aslay -...
  10. G

    Je!! Tunawasaidia wasanii wetu kufika muziki mbali?

    Wakati mkali Chriss Brown anategemewa kuangusha burudani katika tuzo za KORA, hawa ndiyo Watanzania wanowania tuzo hizo ni Best male artist East Africa: Ali Kiba Feat Lady Jay Dee – Single Boy, Best female artist East Africa: Saida Karoli – Sakina. Best male new comer: Aslay -...
  11. G

    Steve Nyerere afanya kisomo cha arobaini na albadili kwa wenzake

    Steve Nyerere aliamua kumuita Hostadhi na kusoma kisomo kwaajili yakumrehemu mwanaye Waiton, lakini kikubwa ambacho alikifanya pia ni kusoma albadili kwa wasanii wenzake ili waweze kujisafisha na kuombeana mema. Tatizo likaja je wasanii wanapendana....? Angalia picha na maelezo
  12. G

    Kizaa zaa cha watu waliogandana Temeke

    Unaweza ukawa unasema, Dar es salaam sikuja kuangalia maghorofa, lakinikila siku ukawa unawtiwa changa kutokana na vituko vya mji huu. Hivi hiki kizaa zaa cha mtu na mpenzi wake kugandana wakati wakila tunda mmeisikia, na baadaye kufariki dunia baada ya kufikishwa hospitali ya Temeke? Je...
  13. G

    Irene Uwoya afiwa na baba yeka aliyemfungisha ndoa

    Mwigizaji mwenye vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafari kwenda Moshi kumzika baba yake Mkubwa mbaye ndiye yule yule aliyekuwa padri wa harusi yake na Ndikumana. Soma Zaidi Wasanii wenzake wamekusanyika kwao, kumpa pole.
  14. G

    Msaada jamani, ninakufa

    Jipe muda wa kupumzika... hayo hata mimi yaliwahi kunitokea. Kila siku naumwa na Malaria, lakini niligundua sipati muda wa kupumzika. Kunywa maji kula pumzika... God is great utapata picha nzuri ya afya yako. Siku hizi wamezidi, simu inatengenezwa kwa kompyuta, redio kwa kompyuta, saa kwa...
  15. G

    Dotnata apata baraka Nigeria za kufungua kanisa

    Mwigizaji na mfanyabiasha na aliyewahi kuwa mwanamuziki Dotnata Poshi, amesema kwa sasa ameaokoka kabisa na kuamua kufungua kanisa kubwa lengo likiwa kuwashawishi wasanii wenzake kuachana na maasi na hatmaye kumrudia mungu. Dotnata ambaye alianza kwa kufafanua jina lake alisema watu...
  16. G

    Wema Sepetu na Ant Ezekiel waomba Msamaha.

    Hao ndio wakina Sepetu. Gomesa
  17. G

    Wasanii wavaa vibaya kukiona

    Kuna kipindi nilidhani kwamba hakuna chombo chochote cha kuweza kusimamia maadili ya filamu nchini. Hususani kuanzia katika uigizaji na hata jinsi wanavyofanya majukwaani.Lakini nimeweza kugundua kumbe Serikali ilishatoa kazi kwa watu kusimamia ambao wao wanamamlaka ya kuweza kumsimamisha...
  18. G

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Wapo wachche wanaotamani hali fulani itokee nchini, lakini wapo wengi wanatamani hali fulani isitokee. Kwanini waislamu wachache wanataka kutufanya waislamu wengi hatuna akili kwa kufuata mkumbo, ambao unafaidisha watu wachache kwa malengoyangu wenyewe. Kama wanataka mapinduzi ya kidini...
  19. G

    Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

    ule msanii wa filamu ambaye alitikisa sana kwenye anga za tamasha la SERENGETI FIESTA 2012, kwenye mikoa mbalimbali kwa kufanya show ya nguvu akiwa na mwingizaji mwenzake Wema Sepetu, Aunt Ezekiel jana saa mbili usiku amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye alilitinga jiji kwa...
  20. G

    Filamu zilizotoka hivi karibuni, ambazo ni kali

    Jamani kusema kweli hivi sasa wasanii wetu wa filamu wamejitahidi katika kubuni makava ya filamu...lakini tatizo lipo ndani ya filamu zeneye, mambo yamekuwa si mambo. Unafikiri wafanye nini? Hebu angali makava ya filamu hizi kali za mwezi huu....Soma zaidi
Back
Top Bottom