Tunawasaidiaje, wasanii wetu kufika mbali kimuziki kama kuwasapoti KORA 2012?

Gomesa

Member
Oct 11, 2012
23
1
Wakati mkali Chriss Brown anategemewa kuangusha burudani katika tuzo za KORA, hawa ndiyo Watanzania wanowania tuzo hizo ni Best male artist East Africa: Ali Kiba Feat Lady Jay Dee – Single Boy, Best female artist East Africa: Saida Karoli – Sakina. Best male new comer: Aslay - Niwenawe. Hivi ni kweli Watanzania upo uzalendo wa kuwapigia kura? Soma zaidi
 
Back
Top Bottom