Fid Q atunukiwa cheti kutoa elimu juu ya Albino

Fid Q atunukiwa cheti kutoa elimu juu ya Albino

Gomesa

Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
23
Reaction score
1
Mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Farid Kubanda 'Fid Q' ametukiwa na cheti na afisa mtendaji mkuu wa taasisi ya Under the Same Sun, Mr Peter Ash kutokana na kujitolea katika mapambano dhidi ya unyanyasaji na ukatiri wa walemavu wa ngozi na kutoa elimu kwa jamii kuhusiana na walemavu wa ngozi ambao wanajulikana zaidi kama Albino. Soma zaidi na picha
 
Back
Top Bottom