Filamu zilizotoka hivi karibuni, ambazo ni kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filamu zilizotoka hivi karibuni, ambazo ni kali

Discussion in 'Entertainment' started by Gomesa, Oct 17, 2012.

 1. G

  Gomesa Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kusema kweli hivi sasa wasanii wetu wa filamu wamejitahidi katika kubuni makava ya filamu...lakini tatizo lipo ndani ya filamu zeneye, mambo yamekuwa si mambo. Unafikiri wafanye nini? Hebu angali makava ya filamu hizi kali za mwezi huu....Soma zaidi
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Si wao wanaobuni, kuna watu wenye kazi ya kubuni na kutengeneza hayo makava...
   
Loading...