Search results

  1. Easyway

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

    Kuichagua CCM ni kutaka mambo mabaya yaendelee; Mambo kama ya ukatili,mauaji, kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi, na kutakatisha fedha. Kuweka watu mahabusu ambao hawana hatia nk. Tukumbuke kuna Mungu ipo siku atatuuliza tuliwajibika vipi kuzuia hayo mambo mabaya ya CCM, mimi nitamjibu...
  2. Easyway

    MAJASUSI WA RWANDA:Jinsi walivyofanikisha kukamatwa kwa Paul Rusesabagina

    Daa inasisimua nimeisoma pia Instagram kwenye mrbookstanzania Kumbe hao Majasusi wanajifanya Kama nao ni wanaharakati au wapinzani wa Serikali lengo ni kuwachunguza na kuwapeleleza wapinzani wa ukweli.
  3. Easyway

    Naomba muongozo juu ya Ufugaji mkubwa kiasi kwa Njia za Kisasa

    Uko wapi Na ungependa upate Mkoa gani. Mikoa yenye ardhi ya kutosha ni pamoja na Pwani na Ruvuma. Karibu kwa maswali zaidi.
  4. Easyway

    Mama huyu kipofu kanishangaza

    Binadamu yoyote ana harufu yake mwenyewe yaani ya kipekee haiingiliani na ya mwingine ndiyo maana mbwa anamtambua binadamu kwa harufu. Na huyo mama kapewa uwezo wa kipekee kutambua mtoto wake au mtu wa karibu yake kwa harufu.
  5. Easyway

    Uchaguzi 2020 Kachero Mbobevu Bernard Membe atua nchini, adai ukata umepelekea kusuasua kwa Kampeni za Vyama vya Upinzani nchini

    CCM huyo bado ni mwenzenu. tafadhalini msimpige madongo yupo ACT Wazalendo kwa kazi maalum. Bado ni mtumishi mtiifu wa Kitengo.
  6. Easyway

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa

    Unafugia wapi? Bei ya ng'ombe inategemea unamtoa mkoa upi. Faida inategemea unafugia mkoa upi na unauza wapi, mf. Dar Kuna soko kubwa na Bei yake lita 2000 ,mikoani 1000-1700.Dar wafugaji wachache. Mikoani wafugaji wengi. Changamoto. Majani hasa kipindi cha kiangazi. Vijana wa kufanya kazi...
  7. Easyway

    Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apasua ngome ya Mbowe Hai

    Wanasiasa bwana! Hivi Ruangwa Kuna maendeleo? Hata barabara ya kuunganisha Ruangwa na Lindi haipo, lakini ukiwasikiliza utafikiri majimbo yote ya CCM yana maendeleo.
  8. Easyway

    Mateso ya Masheikh wetu

    Hawa mashehe walikamatwa na waislamu rais akiwa JK, Sheni rais Zanzibar, makamu wa kwanza Maalim Seif, makamu wa pili balozi Iddi. Na ni muislam Sheni ndiye anayeweza kuwatoa maana ndiye aliyewapeleka jela bara. Wanateswa kwa sababu ya waislam wenzao
  9. Easyway

    Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Waanze kukamata wanaopora fomu, wanaowakata wagombea, waliokataa kupokea fomu, hao ndiyo vyanzo vya fujo.
  10. Easyway

    Arusha, Kilimanjaro, Kagera na Mbeya yote ni mikoa ya baridi lakini kwanini watu wake wanatofautiana?

    Kwahiyo baridi inasababisha weusi! Kwa baridi ya Ulaya Wazungu wangekuwa weusi.
  11. Easyway

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    RIP Ben Mkapa. Mzee wa Ukweli na uwazi.
  12. Easyway

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mtaji inategemea na mtaji ulionao. Mbao zinapatikana Mafinga , Makambako Njombe na Makete. Risk ni kuuziwa mbao zenye kasoro Kama kupinda, kuchanika nk. Kama una swali lingine uliza.
  13. Easyway

    Mtu anayelipa mahari yote ana maana gani?

    Haya mambo ya mila wengine hawayajui. Kijana ana pesa kaona atoe mpunga wote.
  14. Easyway

    Uchaguzi 2020 Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo

    Ukimuuliza mipaka ya jimbo la Ubungo anaweza asiijue. Mwaka huu tutaona wagombea wengi wasiojua lolote kuhusu Jimbo, wagombea wa kulazimishwa mmoja ni Profesa Kabudi mgogo wa Kilosa.
  15. Easyway

    Dodoma: Rais Magufuli anazindua ujenzi wa barabara ya Mtumba, Makao Makuu ya TARURA na Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto

    Mambo makubwa kuzindua Barabara? Wanaoenda sayari nyingine kutafuta mafuta na madini hao ndiyo wanaofanya makubwa.
  16. Easyway

    Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

    Nikitaka kutangaza biaahara nafanyaje?
  17. Easyway

    Serikali ipo katika mchakato kuhakikisha mahabusu wanafanya kazi magerezani kama wafungwa

    Nafikiri angekuja na mpango wa kupunguza mahabusu, kwa kesi ambazo hazina dhamana ziwe na dhamana,.
Back
Top Bottom