Search results

  1. G

    Fumanizi la kutisha, wagoni wala kichapo ,sasa kesi kwenda mahakamani!!

    Fumanizi hilo lilibuliwa na gazeti hili, Septemba 18, mwaka huu ambapo Judith Lekule na mume wa mwanamke aliyetambuliwa kwa jina moja la Pendo walinaswa chumbani wakiivunja amri ya sita ya muumba. MAPYAA NI HAYA Kwa mujibu wa vyanzo, Judith yu mbioni kwenda kortini kwa lengo la...
  2. G

    Mwalimu Lukindo atupwa jela miaka mitatu kwa kumpa mimba mwanafunzi.

    MWALIMU wa Shule ya Msingi Magamba, wilayani Handeni, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na kumpa mimba mwanafunzi. Mwalimu huyo, Daniel Lukindo (24), alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kumpa mimba mwanafunzi Halima Rashidi wa...
  3. G

    Polisi akutwa amejinyonga kituoni!!

    ASKARI polisi mwenye cheo cha koplo, Mlima Mnyasi ‘Katafunua' wa Kituo cha Kilwa Road Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini Dar, hivi karibuni alikutwa amejinyonga hadi kufa katika lori la polisi lililopo kituoni hapo. Mnyasi mwenye namba C.8909 alikutwa na askari mwenzake Septemba 16, mwaka...
  4. G

    Wake wa King Muswati wachapwa viboko kama wanyama!!

    TANGU Waziri wa Haki wa Swaziland, Ndumiso Mamba, anaswe kitandani anavunja amri ya sita na mke wa Mfalme wa nchi hiyo, Makhosetive Dlamini ‘Mfalme Mswati III', hali ni mbaya kwa wake wa kiongozi huyo. Mamba, alinaswa kwenye kitanda cha mke wa 13 wa mfalme huyo, Nothando Dube na tangu...
  5. G

    Ushauri: Angalia Matiti ya wanawake uongeze umri wa kuishi!!

    Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke? Pole .Umekosea ,sivyo unavyofikiria? Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kitu cha kwanza kabisa wanaume anachoangalia katika...
Back
Top Bottom