Search results

  1. M

    Maoni: Rais Magufuli ahutubie kama Rais

    Kuangalia hotuba zake kama uko ma watu unaowaheshimu,unaomba udhuru maana hakawii kuharibu...ningeshauri TV wawe wanaweka ile 18VL Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

    Jamani bado tupo kweliiii!!! Ni muda sana
  3. M

    Kwanini ufuge ng'ombe kwa maziwa glasi moja?

    Ok kama huyu mama sio
  4. M

    Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

    cc kiranga;Mzee mwanakijiji;pasco
  5. M

    Lowassa: Sitategemea wahisani kuendesha serikali

    CC Faiza Fox ...
  6. M

    Je, wajua? - Special Thread

    Je wajua Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye maamri jeshi wawili na raisi wa jamhuri ya muungano hana sauti au mamlaka zanzibar?
  7. M

    Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

    Yupo anatoa ufafanuzi kama kawaida anasema ni jambo dogo limekuzwa tu....
  8. M

    I am 42 yeas old and finished

    Hongera kumbe unajua lol
  9. M

    I am 42 yeas old and finished

    Jamani huku ni jamii forum,soma na angalia wenzio wanavyoandika, mnakosa kazi kwa upuuzi kama huu ..
  10. M

    I am 42 yeas old and finished

    Mkuu umemaliza kila kitu na kwa kuongezea historia ya babu wa loliondo na letuz .....
  11. M

    Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    Kuna vitu humu duniani vinashangaza, we unafanya biashara ya kulaza wageni, wateja wamekuja unataka kuwalazimisha watende unayofikiri wewe kitiu ambacho si sahihi kama issue ni kwenda mbinguni basi tusiburuzane mwache mtu ajipeleke akotaka kwa raha zake.....
  12. M

    Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

    Hasa mabinti ni wadhaifu sana kwa wakaka ambao wanajifanya watanashati......rahisi sana kuwapa simu za ofisi jamaa wanajenga mazoea muda kukujua jina, unakaa wapi nk
  13. M

    Msaada wakuu,nimetapeliwa Milioni Moja

    Mkuu pole sana mimi binafsi ni menusurika mara tatu, issue iko hivi anakuja jamaa anamdanganya huyo binti kuwa anakutafuta halafu amepoteza contact zako so huyo kijana anaitafuta kwenye phone book yake jamaa anatumia kila aina ya ujanja anaichukua hiyo simu then kwa haraka ana edit jina anaacha...
  14. M

    Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

    Jamani hivi kweli umehitimu chuo cha ualimu? Kama waalimu wenyewe ndio mmaandika hivi je na wanafunzi wenu wataaandikaje? halafu jifunze kujibu vizuri humjui unaemtukana maana anaweza akawa ndio msaada wako.......
  15. M

    Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

    Jamani hivi kweli umehitimu chuo cha ualimu? Kama waalimu wenyewe ndio mmaandika hivi je a wanafunzi wenu wataaandikaje? halafu jifunze kujibu vizuri humjui unaemtukana maana anaweza akawa ndio msaada wako.......
  16. M

    Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

    Picha ipi mkuu? uwe unsoma wa makini.Wajua hiyo picha ni ya lini?
  17. M

    Statistician anatakiwa haraka

    Mkuu ipe nyama kidogo, kazi ipo wapi? ni NGO serikalini AU........
  18. M

    Nape: CCM tumekaguliwa, hatuna haja ya malumbano

    Tandaleone, Wapi data mkuu kama wenzio walitoa kwenye ule uzi wao?
Back
Top Bottom