Search results

  1. D

    Kwa kosa hili, Lowassa huji kuiona Ikulu

    Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini uwezo wa kiuongozi alionao lowassa tokea zamani sana pamoja na kukataliwa na Baba wa Taifa. Uwezo wa Edward Ngoyai Lowassa katika uongozi wan chi hii uko dhahiri katika mambo mengi tu aliyoyasimamia kuanzia kwenye wizara alizozisimamia hadi alipokuwa waziri mkuu...
  2. D

    CCM: Tutajidanganya Hadi Lini?

    Mchambuzi mbona umeniwahi nilichokuwa nakifikiria, hebu check bandiko langu namba 15, nimeliongelea hili, Muda utakapofika wa wananchi kupata mageuzi hawataangalia hayo mageuzi anayaleta nani hata yakitokea msikitini watayakubali, Kinachotakiwa ni kuwa na strong organization za kitaifa ili...
  3. D

    CCM: Tutajidanganya Hadi Lini?

    Mageuzi yanapokuja yanaangalia the most organized entity ndiyo itakayo-spearhead hayo mageuzi iwe ni chama cha siasa, chama cha wafanyakazi, taasisi ya kidini, CBO, NGO, jeshi n.k. Sasa CCM inafikiri kwa ku-oppress vyama vya siasa basi itachelewesha mageuzi, haijui kuwa mageuzi yanapokuja ni...
  4. D

    Commissioner Wa customs TRA

    Mkuu Private Candidate naomba nikurekebishe hiyo lugha ya watu uliyotumia, samahani lakini 'Issue ni kuwa She didn't apply like others Nor did she undergo any interview' au ungeweza kusema 'Issue ni kuwa 'She neither applied like others nor underwent any interview'
  5. D

    vyeti vya chuo UDSM 2012 vinatoka lini

    kwa anayejua vyeti vya chuo kikuu UDSM kwa tuliomaliza mwaka jana vinatoka lini anitaarifu maana kuna kazi zinahitaji vyeti. thanks in advance
  6. D

    Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

    . He never asked for my CV or results!! He has never seen my University Certificate. Oooh that's obvious to lawyers. Lawyers are not asked for their credentials as long as they know how to stand in the court. That's why the 'fake lawyer' who represented Sadam and milosevic at Iraq and the...
  7. D

    nyie STARTIMES mbona wezi hivi?

    Nimenunua decoder yenu tar 15 jan, eti jana mmenikatia service wakati mwezi haujafika. halafu inaonekana hata kukata kwenu mnakata manually maana kwanza mnazima service kwa muda mrefu. kwani hamna program ya kuweza kumkatia mtu tarehe yake ya kulipia ikifika? sasa kwa mpango wenu huu silipii...
  8. D

    Mtaji wa CCM unapo back fire

    Kwa muda mrefu CCM imekuwa ikitumia 'ujinga' kama tatizo la kimkakati la kuendelea kubaki madarakani. Ni ukweli usiopingika kuwa sababu ya ujinga unaotokana na umasikini kukithiri katika sehemu kubwa ya jamii, hata wakati wa kampeni za uchaguzi CCM imekuwa ikifanya jitihada za makusudi...
  9. D

    Cresta GX 100 on sale 5m

    Ngoja nikufahamishe siku hizi ukinunua gari kwa kuangalia milage itakula kwako, labda uliangalie likishashuka bandarini, lakini likififa yard milage zinabadilishwa sana, nenda magomeni au lumumba kaangalie milage ndio utajua, utanunua gari limebandikwa na super glue. mimi siyo dalali, gari ni...
  10. D

    Cresta GX 100 on sale 5m

    we kama unahitaji gari tuwasiliane ulione gari, njoo na fundi wako kama hujiamini. mimi ndio mwenye gari na naliuza kwa kuwa nina gari nyingine na hili limekaa tu, sasa sitaki kulipia leseni zake wakati silitumii. kama unaona nakubambika basi nenda ukanunue lumumba au magomeni kwenye magari...
  11. D

    Cresta GX 100 on sale 5m

    Gari ipo sokoni cresta gx 100, engine vvt i, mwenye nayo ana gari nyingine hivyo anaiuza hii anayehitaji awasiliane na mimi 0757 859012
  12. D

    Mvutano wa gesi Mtwara dalili ya wananchi kukata tamaa

    Yaani ukitaka kujua jinsi viongozi waliopo kwenye serikali hii walivyofilisika kimawazo wasikilize kauli zao, eti waziri mzima unajenga hoja kuwa wanasiasa hawataki tatizo la umeme liishe ndi maana wanagomea gesi. kwanza wanaogomea gesi si wanasiasa ni wananchi na sababu za kugomea gesi isitoke...
  13. D

    Confirmed: Juliana Shonza, Mtela Mwampamba na Habib Mchange watimuliwa CHADEMA

    Aisee ile icon ya 'like' siioni nilitaka nikupe, chukua like ya analogue
  14. D

    Confirmed: Juliana Shonza, Mtela Mwampamba na Habib Mchange watimuliwa CHADEMA

    halafu hizi nyuzi mnazoibuka nazo saa 6 ya usiku mkiwa mmejikusanya inaonyesha kuna kitu mnakiogopa, maana kama ni tamko la bavicha lipo tokea mchana, sasa mda wote huu mlikuwa mnafanya nini au ndio mnaogopa za uso mchana, hata kesho watu watawapa tu haina kuremba
  15. D

    Confirmed: Juliana Shonza, Mtela Mwampamba na Habib Mchange watimuliwa CHADEMA

    Oyaa usitujazie nyuzi hapa, mwenzako 'Taswira' keshatoa uzi kama huu tena mida hii, kama una lako nenda kachangie huko sio kutujazia page kwa mambo yenu ya kijinga, mlipokuwa mnaanzisha makundi mbona hamkuanzisha thread tuchangie, saa hizi makundi yanabomolewa tunaona mapovu mengi humu hebu...
  16. D

    From Dar to Goma: How I met, and had lunch with rebels

    Kiongozi nimeisoma yote ingawa sijaona sehemu aliyosema anatokea shirika gani, ila ni investigative journalist mzuri. Kuhusu mgogoro wa goma nakubaliana nae kwenye discipline kwenye jeshi la DRC yaani sijawahi kuona jeshi bovu kama lile ingawa hajafanya mahojiano na wanajeshi wa DRC mimi nimekaa...
  17. D

    From Dar to Goma: How I met, and had lunch with rebels

    Kiongozi Makene heshima mbele jembe langu, huyu mwandishi namuadmire sana ingawa simfahamu ila mara ya kwanza nilimuona aljazeera akirusha kipindi cha mauaji ya albino kwenye 'investigate' , yuko shirika gani la habari au ni mwandishai wa kujitegemea? yaani anatuwakilisha vyema sana waTZ naomba...
  18. D

    Siya kukosa! documentary ya mauwaji ya Daud Mwangosi.

    Kwani nyie washikaji kila kitu kinachoihusu chadema lazima mcomment? Wiki iliyopita tuliwapa uwanja mtukane mnavyoweza, Tumeshawasikia kuwa Slaa mnafiki, mwizi, fisadi, mamluki, masalia, dictator + yote anayosema Nchemba, Nape na kibajaji. Kwa nini sasa msitumie bundle zenu kuimarisha chama...
  19. D

    DR. KAFUMU ON STAR TV: Hivi kwa nini viongozi wetu wanayaona matatizo wakishatoka

    Yaani ukimwangalia kama humjui ni nani unaweza kusema kwa nini watu kama hawa wasiwekwe serikalini, kumbe ni walewale
  20. D

    DR. KAFUMU ON STAR TV: Hivi kwa nini viongozi wetu wanayaona matatizo wakishatoka

    Nilikuwa namuangalia Dr Dalali Kafumu yule mwanasiasa na msomi aliyekuwa kamishana wa madini na mbunge wa igunga kabla ya kuvuliwa na mahakama. Alichonishangaza ni kuyaelewa matatizo ya nchi hii kwa ufasaha kabisa kuanzia tunavyoporwa madini hadi tatizo la rushwa. Tena ameamua kuandika hadi...
Back
Top Bottom