SoC04 Threads

  • Suggestion Suggestion
Malezi Bora yanajumuisha wazazi wote wawili kuishi pamoja na kushirikiana. Ili kuibadilisha Tanzania yetu ni vyema malezi ya watoto yaanze tokea mtoto anapo zaliwa. Malezi bora yanatokana na...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
INTRODUCTION Dar es Salaam stands as the largest city and economic center of Tanzania, located on the eastern coast of the nation. It functions as the primary seaport and commercial nucleus...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
KUWAHESHIMU NA KUWALINDA WATU WALIO NA ULEMAVU KWA AJILI YA KULIJENGA TAIFA LA KESHO Tanzania tuitakayo miaka mitano ijayo. Ni pamoja na kutunga sera, sheria pamoja na kanuni kwa watu wenye...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI AFYA NI NINI? Afya ni hali ya ustawi wa kimwili, kihisia, na kijamii ya mtu binafsi au jamii nzima. Ni zaidi ya kutokuwepo kwa ugonjwa; ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, na...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
kwa mkono wa: Mikael Mtanzania. Yeyote asiyekubali kubadilika basi mabadiliko yatamuacha nyuma. Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi hasa yanapotokea majanga au unapotokea moto umewaka sehemu...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
TUWAANDAE WATANZANIA KUTOITEGEMEA TANESCO UTANGULIZI Nchi yetu imepitia katika matatizo ya mara kwa mara ya ukatikaji wa umeme na mgao wa umeme kwa nchi nzima takribani miaka 30...
1 Reactions
4 Replies
669 Views
Upvote 12
  • Suggestion Suggestion
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Upvote 10
  • Suggestion Suggestion
M. M. Mwanakijiji UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027 Introduction: Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to...
3 Reactions
5 Replies
713 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
ELIMU KIDIGITALI Elimu huweza kumsaidia mtoto kuweza kujitambua na kutambua mambo mengi yanayomzunguka, pia huweza kumsaidia mwanadamu kuishi kwa kukabilia na mazingira yake. Elimu kidigitali ni...
1 Reactions
2 Replies
441 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye yatakuja kuwa upande upi, labda huenda mtoto akawa daktari, rubani, mcheza soka au...
1 Reactions
2 Replies
371 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Uwekezaji Katika Teknolojia na TEHAMA: Njia ya Kuijenga Tanzania Bora Teknolojia na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) zimekuwa nyenzo muhimu katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na...
0 Reactions
2 Replies
533 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi kiasi cha kuweza kuihudumia dunia katika mambo mbalimbali kama chakula, sekta ya madini na hata mavazi endapo zitatumika vema. Tangu kipindi cha uongozi wa...
2 Reactions
3 Replies
380 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo...
0 Reactions
2 Replies
449 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
KUWEKEZA KATIKA UVUNAJI WA POLENI ZA NYUKI KWA AJILI YA MATIBABU YA FIGO Poleni ni seli za uzazi za mimea. Nyuki, wadudu wengine, upepo, na maji hupamba mimea kwa kuhamisha poleni kutoka kwenye...
3 Reactions
7 Replies
829 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoendelea barani Afrika. Ingawa changamoto zipo, tunaamini kuwa tuna fursa kubwa ya kujenga mustakabali mzuri kwa taifa letu. Chapisho la Gupta, 2020...
1 Reactions
2 Replies
398 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mfumo wa Elimu tulionao hapa Afrika hatukuutengeneza sisi wenyewe bali maadui zetu, hivyo kamwe usitegemee adui yako akupe elimu nzuri. Akupe elimu nzuri ili umpindue? Wazungu walipokuja kwa mara...
0 Reactions
1 Replies
296 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Habari wadau, Kulingana na taratibu, sheria na kanuni mbalimbali za nchi hii nafasi za mawaziri huteuliwa na mheshimiwa raisi. Lakini siku ya leo napenda kutoa maoni yangu juu ya nafasi tano za...
2 Reactions
2 Replies
276 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu. Ninaamini elimu...
2 Reactions
4 Replies
643 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi  Elimu ni nyenzo pekee ya kujenga ujuzi, maarifa, uwezo wa kupambanua mambo, udadisi na kujiamini ambako huchochea mapinduzi ya fikra, hatimaye maendeleo ya jamii husika. Changamoto ya...
3 Reactions
2 Replies
662 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko...
2 Reactions
1 Replies
563 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom