SoC04 Threads

  • Suggestion
Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru...
17 Reactions
9 Replies
390 Views
  • Suggestion
Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Miaka ya 1950...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
  • Suggestion
Overview Since gaining independence Tanzania has been gradually making advancement in various sectors. Tracing back to 1980s when industrial output and capacity utilization declined. The economy...
0 Reactions
3 Replies
240 Views
  • Suggestion
Salamu; Moja ya sekta nyeti inayogusa kila mwananchi ni sekta ya Afya, lakini ndio sekta isiyojitosheleza zaidi kwa miaka mingi hususani maeneo ya vijijini.Natambua juhudi za Serikali za awamu...
0 Reactions
2 Replies
27 Views
  • Suggestion
“Watizamwe kwa jicho la huruma” Katika hao wapo wengi walio na utayari wa kuanza maisha mapya, ni sisi kama jamii kuamini. Tusisahau juu ya wale wengi wanaowatumia kama chanzo cha mapato, “tuna...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
  • Suggestion
Nchini Tanzania, serikali inatoa kondomu bure ili kuhamasisha ngono salama na kupambana na kuenea kwa virusi vya UKIMWI. Hata hivyo, hedhi, ambayo ni hali ya kibiolojia isiyoepukika kwa wanawake...
0 Reactions
3 Replies
32 Views
  • Suggestion
Zaidi ya 70% ya WaTanzania wanaishi vijijini ambako kuna maeneo mengi yenye rutuba za kuwawezesha kulima hivyo kupelekea waTanzania wengi wa kipato cha chini na kati kujikita katika shughuli za...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
  • Suggestion
Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
  • Suggestion
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho...
0 Reactions
1 Replies
17 Views
  • Suggestion
Tanzania is striving to create an economic environment that fosters a happy and prosperous life for its citizens. Achieving this goal requires effective management of the existing tax bases...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza...
6 Reactions
10 Replies
193 Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo lazima iwe na raia walio wengi Kwa ulimwengu wa sasa ambao angalau wawe na uwezo wa kutumia lugha za kimataifa angalau hata lugha moja ambayo itawawezesha kujiimarisha...
0 Reactions
2 Replies
24 Views
  • Suggestion
utanguizi. Mmomonyoko wa maadili si neno geni hata kwa sikio jipya. Ki falsafa mmomonyoko wa maadili ni ukiukwaji wa utamaduni mama uliokuwa sahihi ki msingi; ni kinyume na kila utaratibu wa utu...
1 Reactions
3 Replies
147 Views
  • Suggestion
Utangulizi Nchini Tanzania, kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa taarifa muhimu inayosababishwa na mtawanyiko wa taarifa katika vyanzo tofauti na ukosefu wa jukwaa moja linalounganisha taarifa...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
  • Suggestion
Ni siku kama siku nyingine bodaboda zimejazana mtaani, jua limewaka, upepo unapuliza kwa kasi inayotimua mchanga na vumbi kiasi. Kiangazi kichanga kabisa. Kwa mbali wanaonekana watu kadhaa...
1 Reactions
1 Replies
20 Views
  • Suggestion
Mapendekezo ya mabadiliko katika utaratibu wa uendeshaji wa mashauli yaliyo mahakamani. Watu wote wa kada mbalimbali, wa jinsia zote, wakubwa kwa wadogo wana haki sawa mbele za Mungu ambaye ndiye...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
  • Suggestion
UKIMWI Unatibika Endapo Tukia na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya UKIMWI, ambao unasababishwa na virusi vya ukosefu wa kinga mwilini (HIV), umekuwa tatizo kubwa la kiafya duniani kwa...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
  • Suggestion
In Tanzania, the journey towards reducing mortality rates and disabilities hinges on a crucial, yet often overlooked factor: First Aid provision during accidents and illnesses. The significance of...
71 Reactions
48 Replies
1K Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo baada ya miaka mitatu SERIKALI IWAUNGANISHIE WANANCHI UMEME BURE, WAKATWE KWENYE LUKU, KAYA MASIKINI TASAF IWEKE UTARATIBU WA KUWALIPIA Gharama za kuunganishiwa Umeme ni Kubwa...
23 Reactions
122 Replies
2K Views
  • Suggestion
Ili kutokomeza rushwa na kujenga TANZANIA TUITAKAYO ni lazima tuzingatie sekta zote katika nchi yetu zinatoa huduma bora na stahiki kwa usawa pasipo rushwa kwa wananchi wote. Zifuatazo ni njia za...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Back
Top Bottom