TANZANIA TUITAKAYO NA MFUMO WA MALEZI KATIKA LISHE
Mimi ni mwanachama wa Jamii Forums, Jina langu ni mchechemuzi.
Ushahidi wa tafiti za kisayansi umeonyesha kwamba msingi wa Taifa lolote lile...
Katika maksha yetu ya kitanzania tunakabiliwa na changamlto kubwa sana ya ukuwaji wa kiuchumi. Tatizo ambalo linaonekana ni la kutithi Kwa vizazi na vizazi . Kwa Tanzania tumekua tuki Ami I kama...
Kwa takriban mwaka mmoja sasa nchi nyingi za Afrika zimeendelea kukabiliwa na upungufu wa fedha za kigeni, hasa dola, fedha zinazotumika katika uagizaji wa bidhaa mbalimbali.
Sababu kubwa...
I. Introduction
Tanzania, a resource-rich nation, is held back by corruption and fiscal mismanagement, with TZS 42.92 billion lost in 2022 alone. To combat this, the nation aims to achieve fiscal...
Nianze makala hii kwa kutoa mfano halisi ambao nilikutana nao mimi mwenyewe. Siku moja nilikutana na tafrani kati ya dereva bajaji na askari barabara. Kile kilichotukia ni dereva kukamatwa...
ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA.
SHULE AU DAY CARE...
Tanzania, a land woven with vibrant cultures, breathtaking landscapes, and a rich curtains of history. Tanzania is a nation we all call home, your home, my home its our home. Yet, the true beauty...
Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki...
Kilimo:ni utajiri na chakula Kwa binadamu wote Kwa Tanzania.
Kilimo kinalisha watu wote Tanzania pia kilimo kinatajilisha watu waliomo humo kwenye kilimo hicho hicho.zipo njia baadhi zikitumika...
Kama tusomavyo kilimo ni UTI wa mgongo pia tunaweza kusema kilimo ni mtaji chakula na fedha Kwa taifa ni kama kilimo kitafanyika Kwa Kwa usasa hasa kuzingatia mbinu sahihi za uzalishaji wa mbegu...
Siasa na utumishi wa uma ni vitu viwili tofauti. Utumishi wa umma ili uwe bora basi jukumu la kutenganisha taaluma za kisiasa na taaluma za mambo ya utumishi wa umma ni muhimu. Tanzania...
Ili kuendelea na kasi ya kuendana na ukuaji wa teknolojia na mifumo ya mitandao upo umuhimu mkubwa wa Tanzania kuingia kwenye utumiaji wa vifaa vya kisasa vya kuendeshea chaguzi mbalimbali za...
Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo
Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia...
TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO.
Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya...
Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana kwa mujibu wa sensa.
Napendekeza Tanzania tunayo itaka ione hii kama fursa kwa maendeleo ya nchi,
Kama vile ikitokea janga la njaa...
Asante sana JAMII FORUMS kwa kutuletea STORY OF CHANGE.
Bila shaka viongozi wamekuwa wakisikia changamoto ya maji karibia TANZANIA nzima, ama kwa hakika TANZANIA TUITAKAYO ni ile ya viongozi...
Kilimo cha maji (AQUACULTURE) ni sekta muhimu na inayokua kwa kasi zaidi ya uzalishaji wa chakula cha wanyama duniani, na inaendelea kuzidi kasi ukuaji wa idadi ya watu, huku usambazaji wa kila...
Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile...
Tunaona kuna wabunifu walishatokea ambao hawakuwa na elimu ya kutosha kuweza kuendeleza vipaji vyao.
Hii italeta maendeleo makubwa sana kwa Elimu ya ufundi upande wa Engineering.
Endapo kama...
Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule.
Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.