Katika siku za hivi karibuni, baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, kuzungumzia suala la Katiba Mpya, kumekuwa na usambazaji wa picha zenye maandishi...
The International Monetary Fund (IMF) has retracted a previous statement claiming that Special Drawing Rights (SDRs) amounting to $443.9 million had been allocated to Tanzania. The communication...
Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alisema:"Usitegemee katiba mpya sasa hivi...
Kumekuwepo na nukuu inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ikisema:"Watanzania, ipo siku mtanikumbuka kwa...
Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa dereva mmoja alimsaidia mwenzake ambaye gari lake lilipata hitilafu ya tairi moja. Katika video hiyo, dereva huyo anatajwa...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la usambazaji wa nukuu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kutolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
SANAMU YA DHAHABU YA RAIS TRUMP KUWEKWA IRAN KWA HESHIMA YAKE! .
Wafuasi sugu wa rais trump wanapendekeza sanamu ya dhahabu ya Trump iwekwe mjini Tehran siku chache baada ya "kulikomboa" taifa...
Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ametangaza kuwa atagombea uraisi na kuwatumikia watanzanai mwaka 2030...
Ikiwa ni siku chache tangu chombo cha habari cha kimataifa cha BBC News kuchapisha makala iliyomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zimeendelea kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na machapisho mbalimbali yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mojawapo ya machapisho hayo...
Wakuu
Uhalisia wa Kinyong kuwa na uwezo wa kujibadili kuendana na kila mazigira upo?
Maana kuna muda kuna watu wanaambiana kabisa "oya wewe unauwezo wa kubadilika na mazingira kama kinyonga''
Asiee🤔
Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣
Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..
Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.