Nanasi ni tunda lenye faida lukuki kwa afya. Miongoni mwa faida za tunda hili ni kuongeza kinga ya mwili, kutibu mafua, kupambana na saratani, kuondoa maumivu pamoja na kulinda moyo.
Pamoja na...
Wakuu nimekutana na hiki kipande cha video kilichoambatanishwa na ujumbe kuwa
"Hi Ndiyo Ile Tulisema Bala La Africa litajigawa, naona dalili zimeanza, tuliosoma Civics hii kitu tunaijua kitambo"
Kumekuwa Na Taarifa Zinasambaa Kwenye Mitandao ya Kijamii Ususani Facebook Zikionesha Raisi wa Uganda Kuwa Yupo Hospital Na Anakabiliwa Na Hali Mbaya .Je Taarifa Hizi Zina Usahihi Kiasi Gani
"Polepole si yupo nje ya nchi Canada sasa ametekwaje Tanzania?" Ni kweli kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa zamani na mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe?
Wakuu nimekutana na kipande cha video cha mtu huko mtandaoni akieleza kuwa maji yaliyochanganya na majivu yanaweza kutumika kama njia ya kuzuia mimba. JamiiCheck hii ina uhalisia kiasi gani?
Wakuu nimekutana na hii taarifa hapa ikieleza.
"Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzania, Dkt. Pindi Chana, amesema kuwa serikali yao itasimika pazia kubwa katika Mlima Kilimanjaro ili kuwazuia...
Jamii Check Kuna Graphics Ambayo Inasambazwa Katika Mitandao Ya Kijamii Ikionesha Chapisho La Masanja Mkandamizaji Kuhusu Suala La Kutekwa Kwa Polepole Na Padre Nikata Kuwa Ameuawa .je Chapisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.