Jamii Check Kuna Graphics Ambayo Inasambazwa Katika Mitandao Ya Kijamii Ikionesha Chapisho La Masanja Mkandamizaji Kuhusu Suala La Kutekwa Kwa Polepole Na Padre Nikata Kuwa Ameuawa .je Chapisho...
Kwa Sasa Kuna Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mtandao wa Kijamii Ususani Facebook Ikionesha Ukurasa wa Massanja Mkandamizaji ukitoa Pongezi Kwa Samia suluhu Hassan kumuweza Polepole.
Je Taarifa Hiyo...
Wakuu, kiusema kweli hii imenishangaza sana siku hizi huko Instagram na TikTok kila mmoja ni daktari huyu anasema wanaume wanatakiwa kuanika korodani zao ili kuimarisha mbegu za kiume. JamiiCheck...
Wakuu,
Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari...
Cristiano Ronaldo and Georgina Shine in Zanzibar: A Royal Welcome in Swahili Splendor
The turquoise waters of the Indian Ocean sparkled under the morning sun as the island of Zanzibar prepared...
Siku hizi huku mtandaoni naona kila mmoja amekuwa mtaalamu wa masuala ya afya, huyu anasema kula matunda yenye sukari eti ni chanzo cha kuua Ini, sijui anataka tule matunda yenye chumvi...
Kumekuwa na Picha Ambayo Inasambaa Kwenye Mtandao Wa Kijamii Ususani Facebook ikimuonesha Mshambuliaji Wa Psg Osmane Dembele Akiwa Pamoja Na Familia Yake Nchini Mali Baada ya Kuwa Ameshinda Tuzo...
Sina mashaka na akili ya Idd Amini lakini nahitaji kujua kama ni kweli aliwahi kumuandikia barua Qn Elizabeth barua ya kumtaka amuoe na mwisho awe mfalme wa uingireza.
Yapo mambo mengi sana ya...
Naona kama CHADEMA wameenza kutusaliti Gen Z
Yaani watu tunajua tupo pamoja Oktoba 29, 2025 kupambania G Wagon na Royce alafu wanaleta tena siasa za CCM
Wakuu ebu iangalieni hii kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.