Habari wakuu,
Kama kweli ni kauli ya Maria Sarungi simuuungi mkono
Naona Maria Sarungi katema cheche huku akidai Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pmoja...
Ni magonjwa ya mfumo was upumuaji yamekatisha uhai wake akiwa na Miaka 41 tu.
Bavarians Msiba huu usiwapite na wale wenzangu wa PES ( pro evolution soceer ).
Winger teleza ameenda.
Pumzika kwa...
Wakuu
Nimekutana na hii barua ambayo inasema NIDA na RITA wametoa mkataba kwa shirika la Babu leo LTD kufanya marekebisho ya majina kwenye vyeti? kuna ukweli wa hizi taarifa?
Kuna tafiti za hivi karibuni zimethibitisha kwamba hata wanaume hupata hedhi, ingawa wanaume hawana alama za nje za kuwaonesha kwamba wako kwenye hedhi, kama walivyo wanawake ambao hutoka damu...
Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole...
Mdau mmoja wa Jamiiforums ameonesha wasiwasi wake baada ya kwenda hospitalini kupima VVU ambapo tofauti na namna alivyotarajia, daktari wake alimpima kwa kutumia mate yaliyotolewa kwenye fizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.