KERO Threads

Anonymous
KERO 
Ningependa kuwasilisha hoja yangu kwa Mamlaka ya Utumishi inayohusika na usimamizi wa mitihani ya mtandaoni kwenye usaili wa kuandika. Kumekuwa na mkanganyiko wa matokeo ambapo mtihani wenye...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Anonymous
KERO 
Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi...
1 Reactions
1 Replies
184 Views
Anonymous
KERO 
Hivi TRA wameongeza kitu kwenye makato yao? Binafsi sijaelewa vizuri ni nini kilichoongezwa. Kuna ile kodi ya pango ambayo tunalipa siku zote mfano mimi nalipia Shilingi 72,000 kwa Mwaka, sasa...
3 Reactions
3 Replies
427 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kero kubwa kwenye ATM za Equity Tawi la Moshi, mwezi wa pili sasa, ukitoa pesa inaonekana umetoa na SMS inakuja kuwa umetoa, na tozo zote unakatwa, cha ajabu hela haitoki na ukiuliza...
2 Reactions
8 Replies
140 Views
Anonymous (9edb)
KERO 
Watumishi wa ngazi ya chini, yani Askari kuanzia cheo cha CR III mpaka PCR1 kwa kipindi kirefu hakuna mabadiliko ya malipo ya posho mbalimbali ikijumuisha mazingira magumu, kodi za nyumba, posho...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A. Na wanaohusika kuhamisha hizo...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo...
3 Reactions
29 Replies
358 Views
Anonymous
KERO 
Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu. Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia...
3 Reactions
8 Replies
189 Views
Anonymous (8b17)
KERO 
Halmashauri ya Bumbuli haijalipa posho ya kujikimu kwa ajira mpya tangu Mwaka 2025 Mwezi Februari, watu wanamaliza mishahara kulipia deni waliloahidi kupewa mwaka mmoha uliopita, kibaya zaidi...
2 Reactions
5 Replies
168 Views
Anonymous
KERO 
“UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter. Baadhi ya Wakazi wa Moshono...
2 Reactions
3 Replies
199 Views
Anonymous (8b17)
KERO 
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule. Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua...
1 Reactions
1 Replies
140 Views
Anonymous (1648)
KERO 
Mkoani Shinyanga katika Kituo cha Afya Samuye kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini, wahudumu wa afya wamekuwa wakitoza Wagonjwa pesa Shilingi 20,000 pindi wanapokifungua wakidai...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Hii ndio uozo mwingine wa taasisi za serikali nchini. Ona hawa TCRA. Wana page kwenye website yao kwamba ikiwa una malalamiko dhidi ya kampuni yeyote ya mawasiliano nchini basi watumie ujumbe...
4 Reactions
7 Replies
145 Views
Anonymous
KERO 
Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender...
3 Reactions
6 Replies
213 Views
Anonymous
KERO 
Habar za majukumu poleni na kazi ngumu ya kujenga taifa na kufichua uovu. Mimi ni mfanya kazi na nimepita sehemu mbali mbali. Lakini nimefanya kazi mkoa wa mwanza ,wilaya ya ukelewe kijiji cha...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Anonymous (cd46)
KERO 
Maji yanayotoka Dar sasa hivi pamoja na mvua zote, hapa ni mitaa ya Wazo Tegeta, yamejaa tope tupu
2 Reactions
8 Replies
195 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kero naomba kuwasilisha, Makazi yangu ni Bagamoyo ila kazi zangu ni Kinondoni, natumia usafiri wa umma kwa maana ya daladala. Jamani naomba Mkuu wa Usalama barabarani aone namna ya kufanya...
7 Reactions
5 Replies
282 Views
Anonymous
KERO 
Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi. Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara...
3 Reactions
3 Replies
352 Views
Anonymous
KERO 
Habari JamiiForums Kuna vijana wenzetu tuliajiriwa nao Mwaka 2024 wao Mahakama sisi LGA, wale wa LGA tukathibitishwa 12/2025 lakini wao Mahakama mpaka leo bado, wanalalamika tu bado yaani kiufupi...
1 Reactions
3 Replies
153 Views
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi...
2 Reactions
9 Replies
211 Views
Back
Top Bottom