KERO Threads

Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO...
6 Reactions
11 Replies
183 Views
Hali ya barabara Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Kwa Mang’umbi hadi Tankini, leo Desemba 28, 2025, ni ya kusikitisha, mara nyingi mvua inaponyesha inakuwa haipitiki kirahisi na hivyo kusababisha kero...
1 Reactions
8 Replies
376 Views
Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA. Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Anonymous
KERO 
Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo. Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati...
1 Reactions
2 Replies
124 Views
Anonymous
KERO 
Naomba mnisaidie kupaza sauti kuhusu changamoto inayowakabili wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), hususan wanafunzi wa Diploma in Adult Education. Mimi ni mwalimu niliye kazini...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Anonymous
KERO 
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya kilwa tulip ajiriwa mwezi kwanza baadhi ya Kada Hatujalipwa pesa za kujikimu Kila tukiuliza tunaambiwa Halmashauri Haina pesa, tusaidie kupaza sauti 🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya...
2 Reactions
1 Replies
56 Views
Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Habari. Sisi wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026. Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. Ambapo watumishi wapya...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa...
0 Reactions
11 Replies
785 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi...
0 Reactions
2 Replies
66 Views
Anonymous
KERO 
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi 1. Hali...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi Hadi leo...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Ajira mpya wa sekta ya afya—tulioripoti kazini Januari 2026 katika Manispaa ya Singida Mjini na Wilaya ya Mkalama. Mimi ni Tabibu Msaidizi Daraja la Kwanza. Tulitarajia kulipwa fedha za kujikimu...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
June 2, 2026, Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba alituambia Ajira Mpya 2026 kuwa pesa za kujikimu zimeingia kutoka hazina hivyo wote tutapatiwa pesa zetu za kujikimu, kitu cha ajabu Juni...
0 Reactions
5 Replies
202 Views
Anonymous
KERO 
Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Anonymous
KERO 
Habari jamii forum, Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi. TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia. Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na...
1 Reactions
2 Replies
249 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tumelipia huduma ya kuunganishiwa umeme Kata ya Moshono hapa Arusha Mjini, ikiwemo gharama za nguzo na taratibu zote zinazohitajika kupitia TANESCO. Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani mwezi...
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Back
Top Bottom