KERO Threads

Anonymous
KERO 
Naomba mnisaidie kupaza sauti kuhusu changamoto inayowakabili wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), hususan wanafunzi wa Diploma in Adult Education. Mimi ni mwalimu niliye kazini...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Anonymous
KERO 
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya kilwa tulip ajiriwa mwezi kwanza baadhi ya Kada Hatujalipwa pesa za kujikimu Kila tukiuliza tunaambiwa Halmashauri Haina pesa, tusaidie kupaza sauti 🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya...
2 Reactions
1 Replies
55 Views
Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Habari. Sisi wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026. Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. Ambapo watumishi wapya...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa...
0 Reactions
11 Replies
785 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi...
0 Reactions
2 Replies
65 Views
Anonymous
KERO 
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi 1. Hali...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi Hadi leo...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Ajira mpya wa sekta ya afya—tulioripoti kazini Januari 2026 katika Manispaa ya Singida Mjini na Wilaya ya Mkalama. Mimi ni Tabibu Msaidizi Daraja la Kwanza. Tulitarajia kulipwa fedha za kujikimu...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
June 2, 2026, Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba alituambia Ajira Mpya 2026 kuwa pesa za kujikimu zimeingia kutoka hazina hivyo wote tutapatiwa pesa zetu za kujikimu, kitu cha ajabu Juni...
0 Reactions
5 Replies
201 Views
Anonymous
KERO 
Mamlaka ya Maji mkoa Lindi wilaya ya Ruangwa kijiji cha Nandagala, ni siku ya tatu sasa maji hayatoki na hakuna taarifa yoyote. Je wajibu wenu ni nini
0 Reactions
0 Replies
38 Views
Anonymous
KERO 
Habari jamii forum, Mimi ni mdau kutoka Mpanda, Katavi. TANESCO Mpanda wanakata umeme ovyo ovyo. Ni kama vile hakuna mamlaka ya kusimamia. Yaani kwa siku umeme lazima ukatwe zaidi ya mara 3 na...
1 Reactions
2 Replies
248 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tumelipia huduma ya kuunganishiwa umeme Kata ya Moshono hapa Arusha Mjini, ikiwemo gharama za nguzo na taratibu zote zinazohitajika kupitia TANESCO. Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani mwezi...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Anonymous
KERO 
Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi. Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru...
1 Reactions
7 Replies
564 Views
Anonymous (6d4b)
KERO 
JamiiForums naomba msaidie kufikisha/kuangazia suala la kuchelewa kwa malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa Ifakara TC. Tumeripoti kazini tangu Januari 2026, lakini hadi sasa...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Anonymous
KERO 
Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services...
2 Reactions
13 Replies
258 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Mkoa wa Lindi hasa Wilaya ya Kilwa wafanyakazi wake wanatabia ya kuzungusha malipo ya wakulima kwa faida zao binafsi kwa vigezo vya kuwadanganya Wakulima kuwa...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Back
Top Bottom