Kuna Hali ambayo hatuelewi.
Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10.
Lakin Hadi Leo hatujapata...
Kutoka GEITA-Tanzania, napenda kuiomba mamlaka ya ufundi Stadi Veta kurekebisha mifumo yao ya matokeo wanachelewesha mno, yani toka mwezi December 2025, tulifanya Mitihani ya CBA na NABE mpaka...
Mpaka sasa tuna zaidi ya mwezi tangu tumalize kufanya mitihani, leseni zetu zimeisha, hali inayosababisha madereva wengine kupoteza ajira zao.
Mpaka sasa hatujui ni lini tutapata vyeti ama...
Mimi ni miongoni mwa wanafunzi tuliomaliza mafunzo ya udereva katika Chuo cha VETA Mbeya mwezi Septemba 2025, Baada ya kumaliza mafunzo, tuliambiwa hatuwezi kupata leseni ya udereva Daraja E bila...
Tangu kuletwa kwa mfumo huu umekua kikwazo na kero zaidi kwa watumishi kuomba uhamisho.
Mfumo huu umetumiwa kuminya haki ya uhamisho kwa watumishi waumma.
Mbaya zaidi mfumo hautambui changamoto...
Watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), hususan wanaofanya kazi katika mradi wa SGR, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutolipwa madai yao kwa muda mrefu, kuanzia kipindi cha ujenzi hadi...
Sisi walimu wa ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026, tulioajiriwa katika kipindi cha siku 100 za Mheshimiwa Rais, tunaomba mamlaka husika, hususan Ofisi ya Rais - TAMISEMI, isikilize na kutatua...
Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu. Tukidai Kwa wakuu wa Idara wanatujibu hovyo
Soma Pia: Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya...
Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku...
Tanesco imekuwa na unyanyasaji mkubwa sana kwa vibarua wanaosambaza umeme kwa mteja(service line) na kujenga miradi midogo midogo. Inafikia mpaka miezi nane(8) pesa haijalipwa na hakuna...
Kazi iendelee
Kwenu Serikali, mliyempa kandarasi ya kujenga dalaja hilo tajwa hapo juu naomba mumshupalie alimalizie, na kama mnalirekebisha ninyi wenyewe naomba mfanye haraka kulimalizia...
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne...
Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita.
Baadhi ya...
Leo nimeona taarifa baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wakidai kuwa wamepata fedha zao za kujikimu. Swali langu ni kwamba mbona sisi Walimu ajira Mpya bado hatujalipwa Pesa...
Tunaomba tulipwe fedha zetu za kujikimu.
Mtumishi anapaswa kulipwa fedha za kujikimu kwa wakati ili aweze kukabiliana na mazingira mapya ya kazi. Hata hivyo, sisi watumishi wa Halmashauri ya...
Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO...
Hali ya barabara Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Kwa Mang’umbi hadi Tankini, leo Desemba 28, 2025, ni ya kusikitisha, mara nyingi mvua inaponyesha inakuwa haipitiki kirahisi na hivyo kusababisha kero...
Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA.
Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni...
Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo.
Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.