Nachoka mimi nachoka....
Tuliambiwa pindi ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) utakapokamilika na mitambo ya kufua umeme kuwashwa basi Tanzania itakuwa na uwezo wa kuzalisha kiasi...
Habari za muda huu, JF.
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu...
Walimu zaidi ya 80 tuliopangiwa uhamisho katika Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera mwezi Mei 2024, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu na usafirishaji wa mizigo.
Kutokana na hali hiyo...
Serikali imekuwa ikieleza kuwa haiwezi kuajiri vijana wote waliomaliza masomo na kuwahimiza kujiajiri, jambo ambalo tunalikubali. Hata hivyo, changamoto kubwa ipo kwa wahitimu wa Diploma in...
Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za...
Habari..!!
Kero yangu ni katika huu mfumo wa serikali wa RITA umekaa kipigaji sana. Mfano unaomba kufanyiwa Verification ya cheti lakini mfumo haukuambii kuwa cheti chako ni cha mda mrefu hakipo...
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa...
Kuna tatizo kubwa kutoka kwa baadhi ya benki zinazotuhudumia. Serikali imeweka mfumo wa loan takeover (kuuza mkopo) ili kumsaidia mtumishi kupata nafuu na masharti bora ya mkopo, lakini benki...
Naomba kuuliza swali,
Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni -...
Ninaomba kufikisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji wa huduma katika Hospitali Teule ya Wilaya Muleba yaani Rubya Hospital ambao kwa maoni yangu unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa...
M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na...
Hiyo ni Chuo Kikuu Cha UDOM mazingira ya vyoo ni mabaya yaani inatisha zinaweza pita hata siku nne bila usafi kufanyika, na hapo watu mnalipa accommodation fees.
Hii hali ni ya muda mrefu sana...
Wakuu kusafiri Stendi ya Misuna iliyopo Singida Mjini ni kipengele kikubwa, tiketi unakata saa kumi jioni ili uondoke saa 3 usiku matokeo yake mpaka saa saa saba za usiku hujui hatima ya safari...
Kuna kero ambayo inatuumiza wananchi wa kawaida wilaya ya ILEMELA MKOA WA MWANZA kwenye ofisi ya usajili hasa wa vyeti vya kuzaliwa, tunachukua form tunajaza details zote ziko sawa msajili akifika...
Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, bado hawajalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapofuatilia...
Habari za majukumu, JF.
Sisi watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba (Momba DC) bado hatujapokea fedha zetu za kujikimu hadi leo, wakati watumishi wa...
Watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu wanaendelea kukumbwa na ucheleweshaji wa malipo ya fedha za uhamisho. Licha ya kupewa ahadi mara kwa mara kuwa malipo...
Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu.
Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu...
Watumishi wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Idara ya Elimu ya Sekondari, tunalalamikia kutolipwa stahiki zetu za likizo ya malipo licha ya kudai kwa muda mrefu.
Kila tunapofuatilia tunaelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.