KERO Threads

Anonymous
KERO 
UTANGULIZI Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi. HISTORIA YA ENEO Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo...
2 Reactions
1 Replies
742 Views
Baadhi ya wanawake waliopata huduma ya kujifungua kwenye Zahanati ya Isevya iliyopo Manispaa ya Tabora wameiomba Serikali kujenga uzio mrefu kuzunguka zahanati hiyo ili kukomesha watu wasio na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri. Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo. Kwenye kituo kuna...
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
1 Reactions
1 Replies
295 Views
Anonymous
KERO 
Habari wanajamvi, Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu...
2 Reactions
19 Replies
795 Views
Ni muda sasa wakazi wengi wa maeneo Ilala ikiwemo boma, Amana, Bungoni, Sharifu Shamba, Malapa na Buguruni Rozana tunateseka na kero ya wanaoendesha pikipiki zenye milio ya juu wakati wa usiku...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau, huku kwetu sinza A ni changamoto, siku haibadiliki bila umeme kukatika sio chini ya mara mbili, sasa hatuelewi ni mgao au ni uamuzi wa wenye nchi kutufanyia hivi.
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Anonymous
KERO 
TANESCO hatuwaoni wakija kuondoa hizi nguzo na kuziweka pembeni kupisha UJENZI wa barabara wamekaa kimya na hamna wakusema waje kutoa hata viongozi wenyewe hawaongei chochote. Nini kinafanya...
0 Reactions
14 Replies
493 Views
Hawa watu wa vivukoni ni bora wafurushwe wote kuanzia anaesafisha vyoo hadi wasimamizi!! Hii ni total failure, vivuko vyote vimeharibiwa kimebaki kimoja mara kwa mara kinazimika njiani...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
kumetokea vunja vunja barabarani kisiwani Zanzibar na kwa mujibu wa maelekezo ni kuwa manispaa walitakiwa waondoe vimeza vilivyopo nje tu ya maduka au katika maeneo ya umma. Lakini wao kwa...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Anonymous
KERO 
Nipo mkoa wa Rukwa wilaya ya Nkasi kijiji cha Korongwe. Leo asubuhi kumezuka taharuki kijijini hapa KORONGWE iliyotokana na kuwepo kwa watu wanaojitambulisha kuwa ni maafisa biashara kutoka...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Anonymous
KERO 
Katika Sheria za Benki Kuu ya Tanzania ambaye ndie Regulator wa Microfinance zote na kwa ufahamu wangu mpaka wafanyabiashara wanaokopesha vifaa vya kielekroniki kama simu janja, kompyuta mpakato...
1 Reactions
1 Replies
312 Views
Kwa Tanzania sio ajabu kuacha salio kwenye mtandao labda Vodacom (imenitokea)salio la muda wa maongezi baaye ukajikuta salio limepungua au kukatwa. Ni nadra uweke salio labda 1000 usijiunge baada...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa, Jamani naomba kufahamu kuhusu hii mitandao ya smu. Nimekuwa nikiweka Salio katika mtandao X mfululizo, jana asubuhi nimeweka salio kwa rusha nikaunga vizuri, jioni wakati...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Wengi hapa jukwaani natumaini tunafahamu chombo cha habari Mtandaoni cha Jambo TV, ni kati ya vyombo ambavyo vimekuwa vikifanya vyema kwa siku za hivi karibuni. Pamoja na hivyo, lakini msimamizi...
1 Reactions
2 Replies
715 Views
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku. Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Ningekuwa mimi leo viss wa NIDA Kawe asingerudi ofisini tena kesho Leo nimesikitika sana nikamkumbuka Magufuli mno Ajabu sana kuona ofisi kubwa kama Kawe NIDA haina genereta Huko huko ndani...
0 Reactions
3 Replies
493 Views
Back
Top Bottom