KERO Threads

Anonymous
KERO 
Wana jamvi, Naandika kutoka shule ya msingi Mugundu ilioko mkoa wa Singida,wilaya ya Iramba,tarafa ya kinampanda,kata ya Kyengege. Tuna shida ya uongozi wa shule alihamishwa mwl mkuu Sebastian...
0 Reactions
13 Replies
981 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Anonymous
KERO 
Naandika hii kwa masikitiko sana kwani tangu tumekuwa tukiripoti yanayojiri shule ya msingi Mugundu ilioko wilaya ya Iramba kata ya Kyengege mkoani Singida hakuna hatua yoyote inayochukuliwa...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa...
1 Reactions
8 Replies
462 Views
Kuna wakati kila binadamu anapochukua hatua kwenda hospital kwenda kufanyiwa upasuaji Fulani uwe uvimbe mwilini au kitu kingine hpo ameamua Kwa dhati kuwaamini wataalamu ssa wakamponye ugonjwa Kwa...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikisafiri toka Mtwara kwenda Dar. Kuna baadhi ya maeneo Kwa kipande cha barabara ya mkoa wa Lindi kuna MASHIMO makubwa sana. Mashimo husika yanaweza kusababisha ajali ama...
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Wasalam mabibi na mababu, Yaani huwa nashangaa hii kero ya maji iliyopo Mkata - Handen, yani maji ni shida balaa ukiangalia huu mji tayari una Halmashauri, tayari una hospital ya wilaya Kitendo...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Anonymous
KERO 
Suala la mtaala mpya kidato cha tano 2024 bado ni mkanganyiko lipi tamko la serikali juu ya hilo. 1. Kuna baadhi ya shule walishapewa semina juu ya utekelezaji wake lakini shule zingine bado. 2...
2 Reactions
4 Replies
934 Views
Habari wadau!! Nimeona leo tujadili hili suala ambalo kadri siku zinavyozidi linazidi kuota mizizi, kumekua na udanganyifu mkubwa sana katika hizi Hospitali binafsi hasa zile zinajinasibu kutoa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi. Ukweli ni...
3 Reactions
6 Replies
705 Views
Wasalaam, Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua...
4 Reactions
4 Replies
481 Views
Anonymous
KERO 
Kwa muda mrefu sasa mto Nyakasangwe unaotenganisha wilaya ya Ubungo kata ya Msumi na Kinondoni kata ya Mabwepande kumekuwq na uchimbaji holela wa mchanga. Mara kadhaa wanachi kwa kushirikiana na...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya...
1 Reactions
9 Replies
888 Views
Anonymous
KERO 
Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na...
2 Reactions
3 Replies
850 Views
Anonymous
KERO 
MWANAFUNZI ALIYEPATA AJALI UWANJA WA TAIFA ATELEKEZWA BILA MSAADA WA UVCCM ..! Mwanafunzi Emmanuel Jackson Malima mwenye umri wa miaka 17 anayesoma kidato cha nne (Form IV) Shule ya sekondari ya...
2 Reactions
10 Replies
948 Views
Anonymous
KERO 
Taasisi ya North Mara community trust fund. Iliyopo wilayani Tarime kuna mambo yanayoendelea yasiyo ya haki hasa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali walio chini ya mpango wa maendeleo endelevu...
1 Reactions
4 Replies
557 Views
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku...
0 Reactions
4 Replies
873 Views
TABIA NA MAKUZI Kuna hii tabia ambayo sio nzuri kwenye daladala. Kuna hawa wadada wakiingia na watoto wao wadogo wanataka kupishwa kwenye seat ila siku wakiwa na pesa za kuwalipia hao watoto wao...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Leo au toka jana serikali haina mtandao. Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida siku nzima mtandao hauko hewani. Kule CRDB napo ni shida hakuna mtandao. Nimelipa kitu flani...
1 Reactions
3 Replies
486 Views
Back
Top Bottom