KERO Threads

Anonymous
KERO 
Samahani hiyo ndio hali halisi ya vyoo vya hospitali ya kituo cha Afya cha Mapera Kata ya Mapera, Wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma na watu huwa wanatumia
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Sisi wakazi wa Mbezi Luis, Njia panda Makabe mpaka kwa Robert tunakaribia wiki sasa hatuna maji na hakuna taarifa rasmi yoyote toka kwa mamlaka husika. Tumekuwa tukinunua maji kwenye magari na...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
BigTall
KERO Responded 
Sisi wakazi wa Kijiji cha Kemakorere, Kata ya Nyarero Wilayani Tarime tuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya maji kwa muda wa zaidi ya miezi miwili sasa. Wanaohusika wangeweza kusingizia...
2 Reactions
3 Replies
842 Views
Bodi ya mkopo kuna changamoto katika mfumo wake wa maombi ya mkopo(OLAMS) haufunguki kabsa. Sasa sijui watu husika wameshaiona changamoto hii maana muda ni mali na deadline ikifika wanapita...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii shule ni kati ya shule zenye heshima kubwa kwa mkoa wa Iringa na viunga vyake, lakini siku za hivi karibuni imekua ni shule ya ajabu kuwahi kutoa, wizara ya Elimu, tamisemi mko wapi? Hizi...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Nyasaka, kata ya kawekamo, wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza. Kero yangu kubwa ni wimbi la kelele zilizopitiliza kwenye makazi ya watu zinatoka kwenye nyumba za ibada, sehemu za...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka 2019 chuo chetu kilipata janga la kuungua moto na Vyeti vyetu wanafunzi wahitimu 43 vikaungua, Tangu wakati huo tumepata usumbufu wa kutopata vyeti vyetu kutoka Chuo na NACTVET huku wote...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao...
2 Reactions
4 Replies
516 Views
Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini. Mifumo ya maji ni mibovu...
1 Reactions
2 Replies
460 Views
Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma. Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja...
2 Reactions
0 Replies
375 Views
Anonymous
KERO 
Habari gani wadau? Kama mnakumbuka, siku za nyuma kidogo kuna mdau alitoa dokezo kuhusu afisa elimu sekondari Kilwa kudhulumu sitahiki za walimu kama vile malipo ya likizo, malipo ya uhamisho na...
3 Reactions
4 Replies
543 Views
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro. Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF...
2 Reactions
3 Replies
899 Views
Anonymous
KERO 
NI takribani wiki mbili sasa kituo cha Tiba Upanga hakitoi huduma za Bima ya afya kwa sababu zisizoeleweka. Wagonjwa tunafika na hatupewi huduma. Tukipiga NHIF 199 tunaambiwa twende vituo vingine...
0 Reactions
5 Replies
484 Views
Anonymous
KERO 
Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya...
0 Reactions
4 Replies
521 Views
Anonymous
KERO 
Ndugu DAWASA na Waziri wa maji, Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Anonymous
KERO 
HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Anonymous
KERO 
Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Back
Top Bottom