KERO Threads

Anonymous
KERO 
Sirari weighbridge upande mmoja haufanyi kazi huduma zimesimama inabdi gari linalotokea mpakani ulazimika kuzungunga had entrance ya kwenda mpaka kupima uzito yaani imekua kero sana na huduma...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Anonymous
KERO 
Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Leo nimeenda kwenye moja ya ATM za CRDB Bank nikiwa na nia ya kutoa fedha kiasi cha 200k+. baada ya majaribio kadhaa ya kujaribu kutoa kiasi hicho ambacho nilikuwa na uhakika ninacho kwenye...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
Baadhi ya Watu ambao wanajitambulisha kuwa wao ni Askari Polisi wakishirikiana na baadhi ya Mgambo, usiku wanapita katika maeneo ya wazi kama Viwanjani na kukamata Watu ambao watakuwa wamesimama...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Kuna siku nilikutana na jamaa mmoja mfanyabiashara anasafiri sana nje, anasema alikutana na mzungu siku Moja akamwambia Tanzania pananuka. Yeye anasema aliona kama Yuko offended lakini alipata...
0 Reactions
2 Replies
333 Views
Anonymous
KERO 
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Anonymous
KERO 
Kutokea kijiji cha lungongole ifakara mkoan morogoro kuna hii barabara inatokea kilosa road kwenda mpaka kwenye kijiji cha kilama inaitwa mwiche road barabara hii inatumika pia na wakulima...
0 Reactions
5 Replies
554 Views
BigTall
KERO Responded 
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy? Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
10 Reactions
209 Replies
6K Views
Anonymous
KERO 
Mradi PMI Dhibiti Malaria mikoa ya Kusini Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma kuna uonevu kwa iCCM providers kwa miezi mitano hawajaripwa na waliahidiwa kusaini mikataba ya kazi nalo bado hawajafanyia...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Anonymous
KERO 
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa...
0 Reactions
5 Replies
460 Views
Ninapenda kutoa malalamiko kuhusu huduma duni niliyoshuhudia katika Hospitali ya Aga Khan Iringa. Nilimpeleka mke wangu siku ya Jumamosi majira ya saa 10:30 jioni. Tulipofika, tulikuta dada wa...
2 Reactions
2 Replies
387 Views
Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Gongo la Mboto - Ulongoni B tunapata shida sana hasa ya kivuko cha watembea kwa miguu kinachovuka SGR kwa kuwekwa mbali mno. Hali hii inafanya wanafunzi na raia wengi kutumia kalavati...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Anonymous
KERO 
Katika jambo linalonishangaza ni kuwa mwaka huu 2025 mwezi wa nane Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda tunahost michuano ya CHAN na 2027 tunahost Afcon lakini jiji la Dar es Salaam kila kukicha...
1 Reactions
1 Replies
577 Views
Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na...
13 Reactions
97 Replies
4K Views
Anonymous
KERO 
Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12...
8 Reactions
13 Replies
942 Views
Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana...
1 Reactions
0 Replies
257 Views
Jionee mwenyewe kwenye picha... Hapa ni Manispaa ya Mtwara Mikindani. Bwana Afya na Bibi Afya wapo tu, wanasubiri milipuko ya magonjwa ili waandike madosari ya kuomba fedha. Hakuna jitihada za...
1 Reactions
3 Replies
906 Views
Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom