KERO Threads

Anonymous
KERO 
Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hawajalipwa fedha za kujikimu tangu Februari 2025, Viongozi wakiulizwa hawatoi majibu ya kueleweka ni kusema tu mtalipwa. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
669 Views
Anonymous
KERO 
Mfumo wa ukaguzi wa risiti wa TRA mtandaoni haufanyi kazi. Kila Receipt Verification Code inayowekwa inaonyesha “risiti haitambuliki”. Kama risiti haziwezi kuthibitishwa, imani yetu katika jinsi...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political...
2 Reactions
4 Replies
448 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Iringa (Tumaini) kuna jambo moja linaendelea hapa chuoni halituridhishi kama wanafunzi. Chuo kimeanzisha mfumo wa kutoza watu penalt sababu ya kuchelewa...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Anonymous
KERO 
Ukirequest; anakuuliza kwako imesomaje? Badala ya kukujibu nakuja au karibu. Hii si sawa, ikumbukwe sisi hatuombi hizo bonus wanazitoa wao wenyewe. So kama bonus inafanya tukose hudumu bora...
4 Reactions
10 Replies
572 Views
Kumekuwa na kilio kwa Wakandarasi kutolipwa kwa wakati huku wakimaliza kazi zao na kukaguliwa na mamlaka na kuthibitisha kuwa kazi zao ziko sahihi na wanatakiwa walipwe. Ikumbukwe kuwa Bunge...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya. Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
2 Reactions
7 Replies
467 Views
Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Anonymous
KERO 
Nikiwa mdau wa elimu, nasikitishwa na ucheleweshaji wa mfumo wa usajili wa private candidates ambao haujafunguliwa tangu mwezi wa saba hadi leo tarehe 8 Agosti. Pia, reference number bado...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini...
2 Reactions
3 Replies
893 Views
Anonymous
KERO 
Rita wamekuwa wazembe kuhsughulikia changamoto za wateja wao, niliripoti terehe 19/06/2025 kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Dodoma kuwa nilifanya maombi ya kuverify cheti cha kuzaliwa...
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Mimi ni yatima wa wazazi wote wawili. Tangu tarehe 16 Julai 2025 nimekuwa nikijaribu kuomba mkopo wa elimu ya juu (ngazi ya shahada) kupitia mfumo wa HESLB, bila mafanikio hadi sasa ninapoandika...
0 Reactions
8 Replies
760 Views
Anonymous
KERO 
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal. Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Serikali na TANROAD mkoa wa Mara hii barabara ni kero na inasababisha ajali na kupoteza maisha ya watu Mashimo mengi na kila mtumiaji wa chombo cha Moto anakwepa mashimo na kusababisha ajali
1 Reactions
5 Replies
332 Views
Hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa, ila wanachokifanya SUMA JKT ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja mabeg yenye faragha za kinamama. Wakati...
3 Reactions
14 Replies
804 Views
Hali ya vyoo kwenye maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Dodoma ni changamoto, huduma ya maji ni changamoto na kuna vyoo vichache kulingana na wingi wa Watu wanaofika eneo hilo. Kwa tukio kubwa la...
3 Reactions
7 Replies
697 Views
Sisi Wafanyabiashara wa Soko la Mfaranyaki lililopo Mtaa wa Mbalika, Kata ya Mfaranyaki tuna changamoto ya mazingira kwenye eneo letu la kazi hilo, uchafu umekuwa ukitawala katika mitaro iliyojaa...
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Nimekuwa nikikutana na kadhaa moja pale ninapokwenda kukunua bidhaa dukani na kudai risiti ya EFD huwa naambiwa, Ukitaka risiti ya EFD bidhaa hiyo bei yake inapanda otherwise tukuandikie tu au...
2 Reactions
17 Replies
862 Views
Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Back
Top Bottom