Nimekatiza mitaa ya X nikakutana na taarifa ya mwana mazoezi jina simfahamu ila ni mtu maarufu kwenye mitandao ya kijamii kwa kuoneka kuwa na makalio makubwa na kufanyisha Watu mazoe ya kuongeza...
Habari wana forum, kumekuwa na complain nyingi sana namna security wa mgodi wa Geita GGM wanavyokiuka haki za msingi za wafanyakazi.
Security wamepewa mamlaka makubwa mno na maamuzi...
Kumekua na tatizo la maji kwa zaidi ya wiki sasa maeneo ya Kimara Temboni kwa Msuguri.
Taarifa zilizopo ni kuwa kumekuwa na tabia chafu ya watumishi wa DAWASA kuchepusha maji kwa nia ya kufanya...
Habari wakuu,
Tafadhali kuna suala la kufuatilia kuhusu uwepo wa Walimu wasio wataalamu kufundisha masomo wasioyafahamu.
Tunaomba mamlaka husika zisaidie kufichua haya.
Somo la Microbiology...
Muda huu saa sita kamili mchana hapa Stendi ya Morroco (Dar es Salaam) kuna askari watatu wanakusanya hela hadharani kwa kila Daladala inayosimama kituoni.
TAKUKURU tokeni maofisini muwakamate...
Jinsi Vyama vya Ushirika vinavyodhulumu na kuwaibia pesa Wakulima wa zao la ufuta Tunduru.
Mwaka huu soko la zao la ufuta linasumbua, hii namaanisha bei kushuka kila mnada Mfano Mnada wa kwanza...
[Picha: Wiki How]
Tupo kipindi ambacho wizara ya Elimu inapambana katika kuleta mabadiliko katika elimu hasa katika mafunzo ya walimu.
Ila kulinga na muongozo mpya ambao umetoka ili walimu...
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Nilikuwa...
Hospital hiyo imefungwa ghafla huku staff wakiwa wanadai fedha za malimbikizo ya mishahara ya miezi 12 nyuma ambayo tuliahidiwa tungeaza kulipwa taratibu ndani ya mwaka Jana lakini haikufanyika...
Kumekuwa na tatizo la ukosefu wa uwajibikaji na uwajibishwaji wa viongozi wa hospitali ya Manispaa ya Kahama mjini kwani kero ni nyingi wanazokumbana nazo wafanyakazi ikiwemo waajiriwa wapya wa...
Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili...
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri?
Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu...
Hivi viwanda vipo Iringa na Njombe. Wanakata milingoti sana na wanaharibu mazingira. Wafanyakazi hatuna mikataba anakufukuza muda wowote kwa chochote.
Assume wazee wetu walipanda miti ili watoto...
MALALAMIKO KUTOKA FAMILIA YA MAREHEMU WOLFGANG M.TURUKA.
Tangu tarehe 14/9/2020 ndugu yetu Tito hajulikani alipo na familia tunazo taarifa kwamba Polisi walimpiga akiwa kituoni na kumuua, kisha...
Morogoro Mjini kata Tungi (ambako ndio makao makuu NIDA mkoa) kuna ujenzi wa barabara ya lami, ni pongezi japo ujenzi ulicheleweshwa kwasababu za kisiasa kwani baadhi ya viongozi walikuwa wakisema...
Tuhuma za RMO Kahama
1- Anamtetea shemeji yake, ambaye anatuhumiwa kupunguza purity kwenye soko kuu la Dhahabu Kahama, tuhuma hizo kuhusu shemeji wa Kumburu zimefikishwa hadi ofisi ya DSO KHM &...
Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo.
Biashara mbali mbali zinafanyika katika...
Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu:
Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi...
Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan.
Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.