DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Nina kero yangu ya muda mrefu sana, mimi ni muajiriwa lakini pia ni mfanyabiashara ambaye nimefungua duka la vinywaji kwenye Soko la KIGILAGILA lililopo Kata ya Yombo Kiwalani Wilaya ya Ilala, Dar...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Jamani kuna tatizo kwenye mabucha ya nyama hasa mitaa ya Mbezi Beach, wanajifanya wanauza nyama bei rahisi kumbe kwa kila kilo wanapunguza gram 200. Wanaohusika tunaomba mtuokoe, sina details...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Wilaya ya Bunda Ina halmashauri kuu mbili, halmashauri ya wilaya na ile halmashauri ya mji wa Bunda. Wilaya hii Ina majimbo matatu ya uchaguzi; Bunda mjini, Mwibara na Bunda vijijni.. KISIASA...
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Rais Samia salaam! Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
w0rM
DOKEZO Responded 
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika. Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa...
2 Reactions
3 Replies
614 Views
Anonymous
DOKEZO 
Inawezekana hili ni jambo lisilosemwa ila ukweli huu hakuna mwenye nguvu ya kuupinga. Nalieleza hili kwa kuwasaidia watoto wakimaskini ambao hawana watu wakuwapigania(connection), na kuinusuru...
1 Reactions
2 Replies
443 Views
Anonymous
DOKEZO 
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake. Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna...
121 Reactions
244 Replies
34K Views
Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako...
22 Reactions
162 Replies
14K Views
Anonymous
DOKEZO 
Baadhi ya wakuu wa shule hasa zile kongwe na zinazofanya vizuri katika mitihani ya taifa ambazo ni za umma wamekuwa ni kero kubwa sana. Wamekuwa wakiwatoza fedha baadhi ya wanafunzi wanaotaka...
0 Reactions
4 Replies
556 Views
BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo . Taarifa kutoka ndani ya benki...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar. Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya...
1 Reactions
1 Replies
468 Views
Wasalaam Jana jioni nimesikia kisa cha kushangaza sana. Wakati nikiwa kwenye simu naongea na aunt, mtoto wa form one (mtoto wa aunt) alirudi analia. Kumuliza analia nini? Akajibu shuleni...
7 Reactions
162 Replies
5K Views
Ndugu zangu, kama umewahi kupeleka mtu yeyote mgonjwa utaniambia hiki nilichoona mimi ni sawa ama si sawa. Nilisindikiza rafiki yangu mwaka Juzi aliuguliwa mtoto mgongo wazi kufika pale ikawa...
0 Reactions
5 Replies
678 Views
Anonymous
DOKEZO 
Nikiwa nimekaaa kijiweni, jamaa mmoja anasema wazi wazi mkewe anapokea mshahara pasipo Kufanya kazi Serikali ila mpunga kila mwezi unaingia na hili anadai ni kwa watu wengi huo mtindo ndo habari...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kama unashindwa kulipia mzigo wako hauwezi kutoka ukifika port of discharge, ina maana wanapingana na agizo la Waziri wa Fedha kuwa malipo yote tufanye kwa Tsh, na kwanini tulipe kwa dollars...
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
19 Reactions
117 Replies
6K Views
Hii ni aina mpya ya pombe ambayo kwa sasa inapatikana jijini hapa, katika baadhi ya maeneo haswa yenye mkusanyiko wa watu wengi wa hali ya chini Aina hii ya pombe inatengenezwa hapa hapa Arusha...
21 Reactions
50 Replies
7K Views
figganigga
DOKEZO Responded 
Maswali chechefu: 1. Je, kwanini Mhe Rais Samia jana aliisifu TPA na kuimwagia minyama kwa "Gawio kubwa ambalo halikuwepo huko nyuma" baada ya kupokea Gawio la Tshs 153.9 toka kwa Mkurugenzi...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom