DOKEZO Threads

Habari Wadai. Hili jambo linakera sana watumishi wa halmashauri ya Kilwa hususan walimu wa sekondari. Inashangaza kuona mwalimu kaenea likizo tangu Juni 2021 na katumia nauli yake kwenda likizo...
1 Reactions
1 Replies
288 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna tatizo kubwa kwa upande wa biashara ya mafuta, mfano leo 4 March 2025 (kila Jumanne mwanzo wa mwezi, wiki ya kwanza, kabla bei ya mafuta haijatajwa kama itashuka au itapanda), makampuni mengi...
1 Reactions
7 Replies
492 Views
Roving Journalist
DOKEZO Responded 
Baada ya member wa JamiiForums kuripoti madai kuwa kuna Mlinzi wa Kanisa Katoliki la Sinza kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa kiume anayesoma Darasa la Tano katika Shule ya Msingi Sinza ya Jijini...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Salaam Wakuu, Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya...
1 Reactions
22 Replies
901 Views
Habari zenu wakuu, Tukubaliane tu kwamba utalii unatutangaza, unatuingizia fedha za kigeni, kuinua uchumi na kutoa ajira. Lakini utalii usiposimamiwa vizuri madhara yake ni mtambuka na ni makubwa...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari wadau, Upande wangu niko salama naendelea na vizuri na swaumu ya Ramadhan, japo janga la maji ni kubwa hasa kwa wakazi wa maeneo yanayohudumiwa na mto Ruvu juu kwa huduma ya Dawassa...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mkandarasi wa huduma ya umeme REA mtaa wa Nyantorotoro A Geita Msikitini kwa juu ametufanyia hujuma sana wananchi. Nguzo za mradi wa umeme zimewekwa kwa kujuana sana kinyume na ramani ya mradi...
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari za Asubuhi ? Ninatanguliza shukrani kwa jukwaa hili la fichua UOVU. Nimewahi kwenda kupata msaada kwenye ofisi ya mtendaji wakata ya Nyaruzumbura , Wilaya Ya kyerwa, Mkoa Kagera...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Anonymous
DOKEZO 
MALALAMIKO HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO Mikopo ya Mama Samia vilipitishwa vikundi saba kata ya Kibondo Mjini waliitwa wakapewa na semina, wakapiga Picha na kushikishwa mabango kwamba...
0 Reactions
2 Replies
226 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari Mimi ni kijana nipo Njombe Mjini, Hivi Karibuni Halmashauri ya Mji wa Njombe ilitoa Mikopo Kwa vikundi vya wanawake,Vijana na watu wenye ulemavu zaidi ya Billion 1.8, Kikundi chetu Cha...
1 Reactions
15 Replies
797 Views
Matukio ya kihalifu yameanza kurejea tena kwenye baadhi ya mitaa ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa leo nitazungumzia yanayoendelea Kimara Korogwe, njia ya kuelekea KAM College kupitia mji mpya. Ndani...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Afisa elimu wilaya Sikonge msingi mkoani Tabora ni kiongozi ambae haeleweki kwani maagizo mengi ya serikali amekuwa akiyakaidi huku akijigamba kwamba hakuna atakayeweza kumgusa. Nitaaainisha...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Hapo vip! Kwanza nianze kwa kumpa pole huyu mwananchi kwasababu viongozi wengi sana wa kiafrika ni watu wanaopenda rushwa,kuabudiwa,kunyenyekewa na kutukunza ila haya yote ni kwasababu ya...
1 Reactions
10 Replies
759 Views
Anonymous
DOKEZO 
Naomba kutoa taarifa juu ya utapeli wa Mtandaoni unaondelea kupitia account ya facebook inayojiita "HONDA AFRICA LTD" na Chanel ya Whatsapp inayojiita "HONDA AFRICA MOTORS" Binafsi ninayeandika...
1 Reactions
6 Replies
816 Views
Izia maji
DOKEZO KERO 
Sifahamu kama serikali ya Samia inathamini wananchi wa mikoa hii miwili katika suala la kupata habari kutoka chombo cha umma ambacho kodi zao zinachangia kukiendesha. Usikivu wa TBC ni wa hovyo...
2 Reactions
11 Replies
639 Views
EricMan
DOKEZO Responded 
https://www.youtube.com/live/0EcQvO6owwc?si=C3wENbOFWYVOz-Cp "Umoja wa Waalimu Wasio na Ajira (NETO) ulianza na Wanachama (wajumbe) 15 kupitia makundi ya WhatsApp. Tulianzisha NETO kwasababu ya...
20 Reactions
198 Replies
12K Views
Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi. Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu...
3 Reactions
9 Replies
741 Views
Back
Top Bottom