DOKEZO Threads

Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kipindi nachaguliwa pale Open University nilikuwa najua kuna utaratibu mzuri na kueleweka katika ku-handle vitu vingi vya academic hasa hasa niliposikia asilimia kubwa ya vitu vinafanywa online na...
1 Reactions
0 Replies
936 Views
Habari wanaJF, Kuna haja ya kufanya mabadiliko katika jeshi la uhamiaji, Mara nyingi nmekua naona wanafanya ukaguzi kwenye mabasi tu kama Kuna raia wa kigeni lakini usiku huwa hawakagui. Kuna...
3 Reactions
6 Replies
418 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais ametangaza kuwa nchi yetu kwa kushirikiana na majirani zetu tunaenda kupitia upya mipaka yetu ya majini na nchi kavu. Hili jambo siyo dogo, ni zito sana na lina potential ya kusababisha...
37 Reactions
128 Replies
6K Views
Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo...
2 Reactions
3 Replies
391 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024. Tunaishi mazingira magumu kutokana na kukosa fedha hizo za kuanzia maisha. Tumetumia gharama kubwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za Leo? Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma. Nimefanya nao...
5 Reactions
8 Replies
961 Views
Case study one; Nikiwa pale Nyegezi Bus Terminal niliona vurugu kuanzia getini pa kuingilia abiria, yaani akiwa na box liwe na nguo au dagaa lazima alipie. Ukiwauliza wanakwambia ushuri wa...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Tajiri Tanzanite
DOKEZO Responded 
Hapo vip!! Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Nyakijooga
DOKEZO Responded 
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro wanadai kuwa wanakumabana na kizungumkuti katika kudai kurejeshewa pesa yao waliyoilipa kwa ajili ya ada kabla ya Serikali kuwaigizia mkopo wa...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
1: Barabara Mbovu na Mashimo Yasiyozibwa Mara tu unapoingia kupitia geti kuu la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pale mwanzo kabisa,(njia panda ya chuo) hali ya barabara sio nzuri sana . Barabara ina...
0 Reactions
2 Replies
571 Views
Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha...
3 Reactions
8 Replies
508 Views
YAH: MALALAMIKO KWA NIABA YA WANANCHI WA RUSUMO KUHUSU HUDUMA DUNI KATIKA KITUO CHA AFYA RUSUMO Kwa heshima na taadhima, mimi, kwa niaba ya wananchi wa Rusumo, nawasilisha malalamiko yafuatayo...
1 Reactions
5 Replies
525 Views
Kuna maeneo kama ya Tegeta masaiti wiki 3 nyuma Panya road wamepita kwenye nyumba kama 20 hivi na kuiba huku wakijeruhi watu na mapanga. Maeneo ya Mbezi beach Juliana na mtaa wa Mayoa panya road...
1 Reactions
12 Replies
844 Views
Habari wanajukwaa Wanafunzi wa mwaka wa pili fani ya clinical dentist chuo tajwa wamekosa kufanya mtihani inayotaraji kuanza Jumatano! Sababu ziko katika utawala wa chuo na hazieleweki...
1 Reactions
9 Replies
480 Views
informer 06
DOKEZO PreGE2025 Responded 
Leo Machi 17, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza rasmi zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura katika Mkoa wa Dar es Salaam. Nikiwa Mdau wa...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira. Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao. mgogoro huu unasababishwa na tajiri...
2 Reactions
8 Replies
988 Views
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Back
Top Bottom