DOKEZO Threads

Umeibuka wizi mpya wa gesi za majumbani za kupikia, baadhi ya wafanyabiashara waovu wanatumia gesi za wateja na baadaye wanafunika na kuuza Changamoto hii imetokea leo baada ya kununua gesi ya Kg...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile...
3 Reactions
6 Replies
695 Views
Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Maeneo yetu ambayo ni kwa ajili ya makazi eneo la Mbutu Kigamboni (Dar es Salaam) licha ya kutambulika kisheria kwa ajili ya matumizi hayo, watu wamekuwa wakivamia na kufanya uchimbaji holela wa...
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
MeVSMe
DOKEZO Responded 
Katika jitihada zangu za kutafuta elimu ya juu kwa ngazi ya Uzamili, nililenga Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) – Mwanza, hata hivyo, kile nilichokutana nacho katika utafiti wangu kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
679 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Tabia ya viongozi au watawala kuwatisha waandishi wa habari ili wasitekeleze majukumu yao ni kinyume na misingi ya uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kupata taarifa. Licha ya serikali...
0 Reactions
1 Replies
388 Views
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni. Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa...
2 Reactions
4 Replies
690 Views
1/ Hiyo ndio halmashauri ambayo wenye elimu ndogo wamekalia nafasi za kiuongozi, hali inayofanya wenye elimu kubwa kukoswa fursa ya kutoa maarifa na kuyasambaza kwa wenye elimu ndogo. kwa mfano...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa...
1 Reactions
1 Replies
293 Views
Aisee nianze kwa kuwaomba radhi wanangu wa KIGOMA kwa hili nitakalosema. Nguruka pamezidi kwa wizi hasa wa kwenye treni. Majambazi wakubwa bongo wote asilimia kubwa wanatokea Kona zile. Binafsi...
2 Reactions
7 Replies
617 Views
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill...
1 Reactions
10 Replies
642 Views
Mkurugenzi wa kampuni ya altezza.travel, inayomilikiwa na raia wa Urusi, amekuwa akijulikana kwa mafanikio yake katika sekta ya utalii. Kampuni hii imeshinda tuzo ya mlipakodi mkubwa na mzuri...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nyakijooga
DOKEZO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
1 Reactions
4 Replies
649 Views
Mshangazi mdogomdogo
DOKEZO Responded 
Uamuzi wa Serikali kupeleka Mradi wa Kusaidia Kaya Masikini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea ni uamuzi mzuri, wamefanya vizuri kupeleka mpango huo kwenye Halmashauri ila kuna...
0 Reactions
1 Replies
591 Views
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo...
72 Reactions
375 Replies
45K Views
Anonymous
DOKEZO 
Nilikuwa naelezea moja ya tatizo lililokuwepo pale OPEN University of Tanzania, supervisors (wasimamizi) wengi wa chuo hicho wana utaratibu mbovu katika kusimamia kazi za tafiti (research) kwa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kwa baadhi ya watu niliowahoji ambao walitapeliwa na Simon Makondya maarufu kama Mr. Manguruwe, kwa sasa wanahitaji msaada kutoka kwa serikali kufuatia utapeli waliofanyiwa na Mr. Manguruwe. Pia...
0 Reactions
3 Replies
379 Views
Anonymous
DOKEZO 
Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura Jimbo la Malinyi Morogoro lilianza Tarehe 1-7 March 2025 , Baadhi ya mawakala ambao tuliongezwa katikati ya zoezi Hilo hatujalipwa fedha zetu Hadi Leo hii...
0 Reactions
3 Replies
196 Views
Back
Top Bottom