DOKEZO Threads

Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia...
0 Reactions
8 Replies
750 Views
Hellw jf,kuna shida bado tunapata.Bado tunapata changamoto ya kupata AVN number na matokeo yametumwa,ukifika nacte kuongea nao wanakujib vibaya wakitumia lugha mbaya.Ni sawa ni taasis ya serikali...
2 Reactions
14 Replies
799 Views
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI JINA : HAMIS MBWANA MZENGA Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ujumbe huu uwafikie haraka na mchukue hatua za kinidhamu na za haraka kwa baadhi ya vituo vya mafuta kujiingiza kwenye mchezo mchafu...
5 Reactions
7 Replies
794 Views
Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma...
2 Reactions
7 Replies
774 Views
Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Anonymous
DOKEZO GE2025 
Ikiwa kama mustakhabali wa VITI MAALUMU Ndani ya Chama Utaamuliwa Kwa Rushwa tena Rushwa ya Wazi Wazi basi hadhi ya Uwakilishi wa kundi Hili maalumu hauna faida yeyote Ile kwetu sisi Wanawake...
0 Reactions
5 Replies
597 Views
Habari wanajamvi! Utaratibu wa ulipaji serikalini wa fedha zote huanza na maombi ya fedha kwa jambo linalokusudiwa mfano manunuzi au posho na haya maombi ya fedha kwa namna nyingine huitwa...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha...
0 Reactions
9 Replies
789 Views
Mfanyabiashara maarufu katika mikoa ya Arusha, Dar na Dodoma Joseph Kalugendo mkazi wa Moshoni jijini Arusha, ameibiwa fedha zake zaidi ya milioni 100 katika benki ya NMB tawi la Clock Tower...
43 Reactions
284 Replies
34K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna changamoto nyingi sehemu za kazi huwa zinakosa suluhisho, kwa mfano watumishi wengine wa afya hasa mkoa wa Katavi hatulipwi pesa za Extra time na call allowance. Pia hatulipwi pesa za likizo...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Anonymous
DOKEZO 
Zahanati ya Tambukareli iliyopo Kata ya Azimio Wilaya ya Temeke - DSM, ambayo ni tegemeo kwa Wananchi wa Kata ya Azimio na maeneo jirani imeanza kugubikwa na viashiria vya rushwa, hali inayotia...
1 Reactions
0 Replies
210 Views
Nyakijooga
DOKEZO KERO 
Kumekuwa na ongezeko la matukio kadhaa ya wizi na upotevu wa mali za abiria ndani ya mabehewa ya Treni ya SGR (Standard Gauge Railway), hasa katika safari za usiku au kwenye vituo vya kati...
2 Reactions
6 Replies
733 Views
Daktareee
DOKEZO Responded 
Takriban mwaka miaka 3 tangu Serikali JMT kutangaza kuchukua umiliki wa hospitali ya Dar Group kupitia Waziri wa afya wa wakati huo Ummy Mwalimu siku ya makabidhiano na kuiweka chini ya umiliki wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli. Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika...
0 Reactions
2 Replies
473 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar Chalamila hivi unajua au umeridhia maroli ya mizigo na mafuta kupita njia ya keko? hujui kuwa haya ndio yanasababisha foleni Dar city center kote kwa kuwa yanapita njia isiyo...
0 Reactions
4 Replies
272 Views
Ni huzuni na kero kwa hili linaloendelea mjini Morogoro, Fieldforce wamejikita kukamata bajaji, Pia Tarura na sector zingine za kiutawala zote zimetolea macho waendesha babaji kwa kamatakamata na...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Anonymous
DOKEZO 
Maeneo mengi ya vijijini watendaji wamegeuka miungu watu huku wakidai pesa nyingi kwa ajili ya kuwapa hiyo namba Ikumbukwe waombaji mkopo ni watoto wa masikini kwa asilimia kubwa lakini nchi ipo...
1 Reactions
5 Replies
364 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na ninahisi kimejengewa mfumo usio rasmi wa kuwaibia vijana wanawabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia kusimamiw semina na...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Jamani, naandika kwa majonzi makubwa. Jana nilishuhudia ajali mbaya ya mtoto mwenye umri wa miaka sita akigongwa na gari na kufariki papo hapo. Hii si mara ya kwanza kutokea katika eneo la...
2 Reactions
8 Replies
608 Views
Back
Top Bottom