DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi...
1 Reactions
1 Replies
421 Views
Anonymous
DOKEZO 
Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida...
2 Reactions
15 Replies
869 Views
Anonymous
DOKEZO 
Utangulizi Stand ya Msamvu, iliyopo katika mji wa Morogoro, ni moja ya vituo vikuu vya mabasi nchini Tanzania. Inahudumia maelfu ya wasafiri kila siku kutoka mikoa mbalimbali. Pamoja na umuhimu...
2 Reactions
9 Replies
855 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Tunaomba tupazieni sauti watumishi kada ya Elimu ajira mpya kwa miezi zaidi ya 4 Sasa tangu Februari hatujalipwa pesa za kujikimu ili hali ni haki ya mtumishi mpya kumsaidia kujipanga na mazingira...
1 Reactions
2 Replies
601 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habarini wadau, Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!! Tarehe 13/06/2025 nilikopo...
3 Reactions
5 Replies
769 Views
TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Anonymous
DOKEZO 
Jana mnamo majira ya saa 8 usiku, tukio la kutisha lilitokea. Bodaboda mmoja alishambuliwa kikatili na kupigwa visu sehemu nyingi za mwili wake. Kichwa na tumbo vilikuwa shabaha kuu, damu...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Anonymous
DOKEZO 
Viongozi wa Halmashauri ya jiji la Arusha na Commissioner wa ardhi wanapora viwanja vya watu kwa kisingizio kuwa havijaendelezwa muda mrefu. Hayo yametokea kwa Commissioner aliehamishiwa Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
The Watchman
DOKEZO Responded 
Wakuu Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha...
29 Reactions
157 Replies
13K Views
Tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa viongozi, Afisa Elimu, Mkuu wa Wilaya Ilemela, Mkuu wa Mkoa mje muokoe Watoto wetu. Sasa Ibungiro Secondary School wameamua kuua Watoto wetu, Watoto migongo...
7 Reactions
117 Replies
5K Views
Watumishi wengi wanadai taklibani miaka 10, wengine nane wengine Moja. Wengine wameamua kuziacha na wakurugenzi huwa wanawacheleweshea ili tu wazile kwa maslahi yao. Waziri husika achukue hatua...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ofisi za TRA Temeke zote ni jipu la kutumbuka kabisa ninafatilia kuchange tin number location kutoka Temeke kwenda Ilala huu sasa ni mwezi wa tatu tangu tarehe 19/12/2025 mpaka sasa sijapata...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji. Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nasikia ni muda sasa umepita mtambo wa kuchemshia vifaa vya upasuaji hapo hospitali ya mkoa Amana umekufa,ili upasuaji ufanyike vifaa vinaendea kuchemshwa sehemu nyingine nje ya hospitali. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Chawa wa taifa
DOKEZO PreGE2025 
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kata za Jimbo la Moshi Mjini wamealikwa na Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Priscus Tarimo katika ukumbi wa CCP uliopo Chuo cha Polisi Moshi leo 19.6.2025 kwa...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni tenderer kwenye Mfumo wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma (National - e - Procurement Systemwa - NEST) ambao mwanzoni ulikuwa mzuri kabisa. Na kama kijana nilihamasika ku-comply ili...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Anonymous
DOKEZO 
Serikali yetu inahimiza suala la haki, inapinga unyonyaji. Lakini hii imekuwa tofauti katika baadhi ya wahadhiri wa baadhi ya kozi za kiswahili mwaka wa tatu (CoED & Co. Of social sciences)katika...
1 Reactions
6 Replies
511 Views
Kuna vitu vinashangaza sana kwenye hii nchi iliyoasisiwa na Hayati Nyerere, tunasema Kuna amani na upendo miongoni mwenu Lakin kiuhalisia Kuna watu ni wenye manung'uniko na maumivu makubwa moyoni...
1 Reactions
10 Replies
515 Views
Back
Top Bottom