DOKEZO Threads

Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara. Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana...
27 Reactions
368 Replies
21K Views
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni...
18 Reactions
168 Replies
7K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa...
1 Reactions
5 Replies
733 Views
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache...
25 Reactions
109 Replies
5K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kama mdau wa utalii wanauza ndani sijawahi kuridhishwa wala kupatiwa majibu kuhusu inaitwa uwekezaji kwenye bandas za Mpanga Kipengere Game Reserve iliyopo Njombe. Nia ovu ilianza kipindi Mhe...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli...
0 Reactions
1 Replies
259 Views
Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa...
1 Reactions
1 Replies
349 Views
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa. Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu...
23 Reactions
230 Replies
18K Views
STUKA M1
DOKEZO Responded 
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa. Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano...
2 Reactions
14 Replies
985 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari ndugu. Ningependa kufichua uovu wa rushwa unao endelea katika vituo vya ukaguzi wa mazao ya kilimo na mali asili vilivyopo njia ya kutoka Segera kuja Dar kupitia Bagamoyo. Wale mabwana...
3 Reactions
5 Replies
604 Views
Kwa huzuni sana Hawa watu hawana huruma yaani ni wakatili mno. Kweli tumelipia dawa miezi yote hii halafu tunaambiwa eti kiwanda kinachotoa dawa kimesitisha kuzalisha nyie watu nyie muogopeni...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous (48e6)
DOKEZO 
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Anonymous
DOKEZO 
Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida...
2 Reactions
15 Replies
859 Views
Anonymous
DOKEZO 
Utangulizi Stand ya Msamvu, iliyopo katika mji wa Morogoro, ni moja ya vituo vikuu vya mabasi nchini Tanzania. Inahudumia maelfu ya wasafiri kila siku kutoka mikoa mbalimbali. Pamoja na umuhimu...
2 Reactions
9 Replies
852 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Tunaomba tupazieni sauti watumishi kada ya Elimu ajira mpya kwa miezi zaidi ya 4 Sasa tangu Februari hatujalipwa pesa za kujikimu ili hali ni haki ya mtumishi mpya kumsaidia kujipanga na mazingira...
1 Reactions
2 Replies
601 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habarini wadau, Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!! Tarehe 13/06/2025 nilikopo...
3 Reactions
5 Replies
767 Views
TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Back
Top Bottom