DOKEZO Threads

Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii...
65 Reactions
178 Replies
10K Views
Wananchi wa Kibaha Muheza tunanyanyaswa na Dk.Zainab Gama (mbunge mstaafu viti maalum CCM) katika mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 10. Mwaka 2000, Mzee Shole (mlemavu wa ukoma)...
2 Reactions
13 Replies
320 Views
Nipo Mwanza nimekuja kutembea kutoka Jiji lenye miti mingi, nimefika Wilaya ya Ilemela, Kata ya Nyamanoro, jana tarehe 28.04.2026 nilikuta vijana wanne walionekana kwenye eneo la ujenzi wakiwa...
5 Reactions
10 Replies
308 Views
UTPC
DOKEZO Responded 
KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha...
1 Reactions
0 Replies
253 Views
Anonymous (c258)
DOKEZO 
Hapa Mwenge ITV kuna kwenye company inaitwa M.M.I Steel inasadikika meneja mwajiri wa company hiyo alikuwa anawaibia Wafanyakazi wake baada ya kuwalipa mshahara laki tano/laki sita yeye anatoa...
2 Reactions
23 Replies
754 Views
DogoWaNjombe
DOKEZO Responded 
Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na...
1 Reactions
5 Replies
402 Views
Hii inakuhusu Waziri wa mambo ya ndani, Mkuu wa mkoa Manyara, RPC mkoani Manyara. Kuna baadhi ya Police kama Muhsin, Said na Salum wana tabia ya kupiga makofi na mabuti. Kuna mwingine anafikia...
2 Reactions
1 Replies
138 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
100 Reactions
501 Replies
33K Views
Halmashauri ya wilaya ya Kigamboni ni miongoni mwa halmashauri mzigo sana hapa nchini! Walianzisha mradi chini ya TARURA wa kukarabati barabara ya kuelekea soko na stendi ya Kibada, wakafumua...
1 Reactions
0 Replies
114 Views
Anonymous
DOKEZO 
kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma ambazo zinathibitika za mganga mkuu wa halmashauri ya wilaya ya serengeti nashangaa mamlaka zake mkoa ,Tamisemi na wizara zikikaa kimya pasipo kutusaidia...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Hii hali sasa imekuwa too much. Serikali ingilieni kati toka mwezi wa pili mwaka huu wanafunzi wa shule ya sekondari JENISTER MHAGAMA wa kidato cha kwanza na kidato cha tatu wamekuwa wakianguka...
3 Reactions
24 Replies
446 Views
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUHUSU MALIPO YA MISHARA NA STAHIKI BAADA YA MKATABA KUMALIZIKA NA TAASISI YA BENJAMINI MKAPA Tarehe: 17 Juni 2025 Kwa: Waheshimiwa Viongozi wa Serikali...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
Kutokana na hali ya umaskini kati ya wananchi wengi wa wanaoumwa magonjwa ya muda mrefu au ya muda mfupi lakini yanahitaji gharama kubwa kama vile upasuaji na mengineo hufia majumbani kutokana na...
11 Reactions
64 Replies
945 Views
Anonymous (0c95)
DOKEZO 
Mimi ni mwananchi wa Singida, kero yangu ni jengo la ghorofa sita kwaajili ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, lilianza kujengwa tangu nipo Sekondari Miaka ya 2010's lakini mpaka leo ujenzi...
2 Reactions
9 Replies
411 Views
Anonymous (01f4)
DOKEZO Responded 
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU kwa watu wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita form six mfumo unataka cheti cha form six, naomba utufikishie hili maana sio wote walisoma form six wengine...
2 Reactions
26 Replies
718 Views
Hii ilikua jana , huyu Polisi alizikusanya Bajaji na kuchukua Rushwa ya kati ya 3000 hadi 5000 kwa Bajaji, Takribani Bajaji 6 wakati huo zilikua zimekamatwa hapo
0 Reactions
7 Replies
246 Views
Hali ya usalama barabarani imeendelea kuzorota huku malori ya kubeba mchanga yakihusishwa moja kwa moja na ajali nyingi zinazogharimu maisha ya wananchi wasiokuwa na hatia. Kila siku, barabara...
3 Reactions
3 Replies
288 Views
BigTall
DOKEZO Responded 
Pia soma:TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura
4 Reactions
24 Replies
517 Views
Anonymous (01f4)
DOKEZO 
Je, Jamii tuna ELIMU ya kutosha jinsi ya kutumia gas na kulinda mtungi wa gas ili kuepuka hatari? Kwanini kampuni za gas zisingeweka sticker ya kuonesha do's na donts za gas. Kwa mfumo wa picha...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kero yangu ni kwamba nilienda kufanya interview ya kazi Jijini Mwanza iliyofanyika Friday Aprili 10, 2026 na nilikuwa nawania nafasi ya Ukatibu Afya Ngazi ya Shahada, palikuwa na interview mbili...
7 Reactions
31 Replies
778 Views
Back
Top Bottom