Na mi kwa mara ya kwanza nakupa like yangu kwa kumpa like mtu aliyempa like yule aliyetoa like kwa mtu wa lumumba[emoji4]Na mimi kwa mara ya kwanza nakupa like yangu kwa kumpa like mtu aliyempa like mtu wa Lumumba...
...Siku zote tunasema nchi imeshikwa na kichaa maccm hayasikii sasa wameanza kujitambua, wengine waliojitambua ni hawa
1. faiza foxy
2. @Britannica
3. N.k.
pole kipara,ss wenzio tuliona matatizo toka mwanzo,hata dalili za kujirekebisha hazipo hata hivyo hujachelewa karibu tujiunge ingawa hatatusikia lkn kama kelele zipo huenda akaelewa.NI MIMI MKUU ILA TUNA MZIGO MZITO!
Mwenzio kapona ugonjwa wa kutojifahamuKipara Kipya ni wewe au mwingine?naona akili zinaanza kuwarudi taratibu.
Ni ujinga kudhani kuwa kuandika upumbavu kwa lugha ya kigeni utaleta ushawishiMzee wetu ni muda mrefu yanasemwa mengi kuhusu wewe baba,ila wanao tunasimama na kukutea kama baba yetu na kwakua hututendei sisi wanao tunaona sawa tu.
Kati kati hapo watu wamekuja na kelele mzee wenu anasema peke yake na kuvua nguo,sisi wanao tukasema aah nguo ilimuanguka tukafika na kukuvalisha vyema.
Lakini hii uliovua jana mmh inatutia simanzi hata sisi watetezi wako na unawapa maneno wale watabiri fake kuwa wewe ni dikteta na maamuzi mengi yanatoka kwako huko nyumba kubwa na mihimili yote unaiyendesha wewe mzee wetu.
Sasa ni dhahiri mzee wetu tunaona aibu wanao wanao na tabia zako za kusema unachojisikia.
Hapa unawapa point majirani zile tuhuma za uvundo zote ni maagizo kutoka kwako.
Mzee mbona kila tukikuvisha nguo wewe unazivua watu wakuelewe vipi mzee wetu
Mzee wetu tunaogopa utakapofikia uzee wa kustaafu utaishi wapi hutakuwa na majirani au kule ulikopanga kuwapeleka hawa wa leo nawe wakupeleke kesho.
Baba punguza maneno makali dunia itakutenga!
Katika hili usimhukumu tupo pamoja kama Taifa.Kipara Kipya ni wewe au mwingine?naona akili zinaanza kuwarudi taratibu.
Ila, du sijui kama ataona like yangu... Nasikia huwa wanapita pita hapa.....Jiwe bana...gonga like hapa kama unatamani liondoke hata leo......
[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 948665
Iko siku hata ibilisi ataokoka! Kama hiki kichwa ngumu na miongoni kwa vichwa hovyo hapa JF leo kimetambua ukweli!
Wewe nae ni zaidi ya sifuri na ni zaidi ya samaki. Yani ni matope yaliyopitiliza umeharibu mpaka nilichomaanisha. Mtu akiwa na mtazamo tofauti ni chadema!Aaaa wapi ma fake ID
Wanajifanya wanawake kumbe wanaume, anajitongezesha mwenyewe
Sasa jana CCM leo chadrama mcharuko
Hasira ya dj kuwekwa lupango
Upupu mtupu
Fyeeekelea mbali walahi
Wewe nae ni zaidi ya sifuri na ni zaidi ya samaki. Yani ni matope yaliyopitiliza umeharibu mpaka nilichomaanisha. Mtu akiwa na mtazamo tofauti ni chadema!
Kwa mara ya kwanza umepata LIKES 100+... KWELI kukichwa kutapambazukaMzee wetu ni muda mrefu yanasemwa mengi kuhusu wewe baba,ila wanao tunasimama na kukutea kama baba yetu na kwakua hututendei sisi wanao tunaona sawa tu.
Kati kati hapo watu wamekuja na kelele mzee wenu anasema peke yake na kuvua nguo,sisi wanao tukasema aah nguo ilimuanguka tukafika na kukuvalisha vyema.
Lakini hii uliovua jana mmh inatutia simanzi hata sisi watetezi wako na unawapa maneno wale watabiri fake kuwa wewe ni dikteta na maamuzi mengi yanatoka kwako huko nyumba kubwa na mihimili yote unaiyendesha wewe mzee wetu.
Sasa ni dhahiri mzee wetu tunaona aibu wanao wanao na tabia zako za kusema unachojisikia.
Hapa unawapa point majirani zile tuhuma za uvundo zote ni maagizo kutoka kwako.
Mzee mbona kila tukikuvisha nguo wewe unazivua watu wakuelewe vipi mzee wetu
Mzee wetu tunaogopa utakapofikia uzee wa kustaafu utaishi wapi hutakuwa na majirani au kule ulikopanga kuwapeleka hawa wa leo nawe wakupeleke kesho.
Baba punguza maneno makali dunia itakutenga!
Na wewe nimekugongea like. Kama huamini nenda kakagueKwa mara ya kwanza umepata LIKES 100+... KWELI kukichwa kutapambazuka
[emoji23][emoji23][emoji23] good morning faza babuNa wewe nimekugongea like. Kama huamini nenda kakague