Mzee wetu mbona kila tukikuvisha nguo wewe unazivua!

For the first time nakupa like. Macho yafunguke muuone upande mwingine wa mzee.
Mzee wetu ni muda mrefu yanasemwa mengi kuhusu wewe baba,ila wanao tunasimama na kukutea kama baba yetu na kwakua hututendei sisi wanao tunaona sawa tu,
Kati kati hapo watu wamekuja na kelele mzee wenu anasema peke yake na kuvua nguo,sisi wanao tukasema aah nguo ilimuanguka tukafika na kukuvalisha vyema,
Lakini hii uliovua jana mmh inatutia simanzi hata sisi watetezi wako na unawapa maneno wale watabiri fake kuwa wewe ni dikteta na maamuzi mengi yanatoka kwako huko nyumba kubwa na mihimili yote unaiyendesha wewe mzee wetu
Sasa ni dhahiri mzee wetu tunaona aibu wanao wanao na tabia zako za kusema unachojisikia,
Hapa unawapa point majirani zile tuhuma za uvundo zote ni maagizo kutoka kwako
Mzee mbona kila tukikuvisha nguo wewe unazivua watu wakuelewe vipi mzee wetu

Mzee wetu tunaogopa utakapofikia uzee wa kustaafu utaishi wapi hutakuwa na majirani au kule ulikopanga kuwapeleka hawa wa leo nawe wakupeleke kesho

Baba punguza maneno makali dunia itakutenga!
 
Chief kwa leo umekuwa mzalendo hongera sana kuvua miwani ya mbao japo umeangaza kidogo

Safari bado ndefu sana.
 
Kama kipara kipya kayaona Haya basi ni wengi wameyaona. Sio Suluhu, sio Majaliwa, Kabudi, Ndugai, Sirro nk nk.ambao wamekwazika na maneno yale.
Hivi tukiishi kwa visa na visasi tutakuwaje Sie tofauti na Rwanda au Burundi? Kwani anadhani wale waliumbwa na Mungu wakiwa na tabia hizo?
Kiongozi wa kisiasa wa chama chenye wafuasi zaidi ya 6milioni (official figure) ametupwa gerezani Kwa sababu zisizo mashiko kisha kiongozi mkuu unatoa maneno ya shombo kama Yale Kwa nini hata wafuasi kama Kipara kipya wasilalamike kuwa unakaa uchi tunakuvika kisha unavua tena?
Damage ya Jana itawaumiza sio yeye tuu bali hata viongozi wengine, anadhani kina JK wanalindwa na katiba iliyopo au kauli na matendo yao ya nyuma? Ni matendo na kauli tuu, katiba inageuzwa within no time amuulize Chiluba
Katiba sio msahafu,yawezageuzwa ni busara tu za anayeshikilia mpini
 
Dua zangu wafia Lumumba muendelee kumsifia tu mzee wenu kwa yote anayoyafanya na kuyaongea mbona amekamilika yule na hana kasoro? Sasa na nyie mkianza kutoa vinyongo vyenu itakuaje? Inatakiwa mgugumie navyo moyoni mwisho wa siku tusikie mmepumzika kunapostahili kwa ugonjwa wa sononeko. NB mkiwa kama wanachama hadi wakereketwa mnayo nafasi ya kumshauri live kwenye vikao vya chama na akawasikiliza mbona yule ni mwelewa sana!! Mwambieni kuna baadhi ya vitu hamkubaliani navyo na inapaswa ajirekebishe mara moja. Amekamilika yule.
Hawana haki hio ndo siku hiohio watafutwa uanachama, chama ni Mali binafsi si ya wanachama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom