Neema Dar: Bia zashuka bei, ndogo ni TZS 1,000 na kubwa ni TZS 1,500

Neema Dar: Bia zashuka bei, ndogo ni TZS 1,000 na kubwa ni TZS 1,500

Oyo oyooo ! 'Mambo mwemwele.

Bia ndogo TZS 1,000. Wazee wa safari , serengeti, kilimanjaro ndo mpoo?

Ukiwa na elfu 10 unakunywa bia 10 saafi bila shida yoyote. Mambo safi sana mjini.

Huwezi kosa hata hela ya bia 3 aisee . Dah.

Asanteni TBL na SBL.
Kwa wanywaji hii ni fursa..
Vipi mmeangalia tarehe za mwisho kutumika?
 
Tuliwaambia huyu kichaa jiwe mkiongeza kodi sisi tutakunywa mbege

haya sasa matokeo yake makusanyo ya kodi yamepungua kutoka trlion 2 mpaka bilioni kadhaa

endelea kukaza wewe jiwe
 
Kama biashara haiendi kama ulivyokusudia, hapo ni mawili aidha wateja hawana hela na bidhaa imekuvundia na kuamua kushusha bei ili siku ziende na faida ndogo Au kufunga biashara kabisa

Inaweza kuwa furaha kwako lakini mimi ninavyojua sio furaha kabisa bali ni kilio
shikamooo
 
Walikuwa wakiniudhi sana ...yaani ukienda bar eti kili kubwa unaambiwa 2500/ au 3000/- safi sana.
 
Oyo oyooo ! 'Mambo mwemwele.

Bia ndogo TZS 1,000. Wazee wa safari , serengeti, kilimanjaro ndo mpoo?

Ukiwa na elfu 10 unakunywa bia 10 saafi bila shida yoyote. Mambo safi sana mjini.

Huwezi kosa hata hela ya bia 3 aisee . Dah.

Asanteni TBL na SBL.
Vipi, umeandaa na pesa ya kubadilisha ini na figo?
 
jamani na sisi wa bia lain tumekumbukwa au ni hao wa bia ngumu ukinywa asubui mwili unaamka umechoka kama ulikuwa umebebe mawe
 
Back
Top Bottom